Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
anatuwekea uhuru,wakati kishatubana kwenye freedom of speech,sauti katika maamuzi ya nchi yetu tutaitolea wapi?acha uongo January
Ule uzi mwingine wameufunga, dah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anatuwekea uhuru,wakati kishatubana kwenye freedom of speech,sauti katika maamuzi ya nchi yetu tutaitolea wapi?acha uongo January
Naanza kuamini kwamba Jk lilikuwa chaguo la Mungu ili tuondokane na dhulma ya CCM tuliyoipata kwa miaka mingi
Halafu ule wa Membe wamefuta posts kibao,sijui ndo wanaogopa kwenda segerea?Ule uzi mwingine wameufunga, dah!
Huyu dogo kina Kusaga wanamdanganya watampeleka ikulu kumlipa fadhila anapoteza mahela yake bure.
MgonjwaUkimwi,
Hapa ndugu yangu umenizidi kete! Looh sijawahi sikia hii (signature):- Mwendawazimu ni binadamu mwenye Uhuru bila Nidhamu, na Mtumwa ni binadamu mwenye Nidhamu bila Uhuru. Nimesoma mara mbili mbili nakila mara hujikuta nacheka mwenyewe maanake kweli imetanda kwa kila sura ya shilingi hii... inauma tu pale utakapo jaribu kufanya mahesabu kupata hitimisho yaani Mtumwa ni sawa kabisa na mwendawazimu, japokuwa wametofautiana chanzo....Wee mkali!
Lakini si ndio haya yalikuwa yamependekezwa katika rasimu ya katiba mpya ya mzee Warioba? Na hawa hawa akina Tanzania Mpya wakayapiga chini? Mimi nashindwa kuelewa hawa watia nia wa ccm wanataka tuwaeleweje?Mawaziri kumi na nane waadilifu. Hapo uko sahihi
Anajifanya Obama huyu dogo yani anampenda Obama anataka nae awe Obama wa Tanzania. Anaishi ndoto za Obama hana ata jipya.
Halafu ule wa Membe wamefuta posts kibao,sijui ndo wanaogopa kwenda segerea?
Nimeupenda mpangilio wa stage yake... Nadhan kakopi from us!
eti manunuzi ya umma kupewa makampuni,si ndiyo ubinafsishaji huu ni kweli watapewa kina mama na vijana au ndo mtapeana tenda wenyewe?
Huyu si ndiye aliyeshinda kura za maoni za ubunge kwa kutumia kadi feki za CCM zilizotengenezwa na Baba'ake? Huyu si ndio juzi tu katuletea sheria ya mitandaoni tena kwa hati ya dharura na bado hatujasahau? Ama kweli sasa CCM Urais kwao ni kama kichwa cha mwendawazimu kila mwanachama wao anataka kunyoa!