Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,563
Ule uzi mwingine wameufunga, dah!
kwa nini wameufunga jamani wengine tulikuwa tunaangalia kwenye mtandao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule uzi mwingine wameufunga, dah!
atudanganya kabisa huyu mnyoa kiparahahaha mamilioni ya January kwa kila kijiji,uongo mwingine
kwa nini wameufunga jamani wengine tulikuwa tunaangalia kwenye mtandao.
Hivi hawa watu wanaongea nn.
Naona aibu mimi
Hata sielewi na mimi ule ndio niliokua naupenda
Eti wavuvi watapewa Boti,jamani uongo mwingine huu.imeshindikana kununua Meli tu kwenye ziwa victoria ya kwenda Bukoba,Ziwa Tanganyika,ziwa Nyasa,leo tunadanganywa wavuvi watanunuliwa boti uongo huu,kuna cha bure hapa duniani?atudanganya kabisa huyu mnyoa kipara