Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

Anavyosema wamachinga wanatembeza bidhaa ambazo hawazimiliki anamaanisha nini?
Kwahiyo bidhaa za machinga ni mali za mgambo wa jiji?
 
hahaha mamilioni ya January kwa kila kijiji,uongo mwingine
 
Anasoma speech kwenye screen zipo pembeni anatuadaa.
 
Hawa wagombea uraisi kupitia ccm wamefika hata nusu kweli .
 
HAMY-D

Naona mmeamua kutumika kama ngazi za kuwainua wagombea urais,naamini mnatumika tu kwani baada ya uchaguzi mtatupwa na kusahaulika.
 

Attachments

  • 1433685137361.jpg
    1433685137361.jpg
    7.9 KB · Views: 308
Last edited by a moderator:
Anatimiza haki yake ya kisheria!
 
Vijana wake wa siasa za siasa wapo ndani ya nyumba. Na mramba miguu wake anaemtumia kutukana wapinzani wake twitter Salim aka idiot cony yupo bize now kuanza mpambano huko twitter.
 
Huyu jamaa anaflow..
Atakuwa amewafunika watia nia wote waliotangulia...
at least amenirudisha maana membe leo alikuwa ameniharibia siku...
 
atudanganya kabisa huyu mnyoa kipara
Eti wavuvi watapewa Boti,jamani uongo mwingine huu.imeshindikana kununua Meli tu kwenye ziwa victoria ya kwenda Bukoba,Ziwa Tanganyika,ziwa Nyasa,leo tunadanganywa wavuvi watanunuliwa boti uongo huu,kuna cha bure hapa duniani?
 
baada ya uchunguzi nimejiridhisha kwamba ccm haina mgombea , hawa wachumia tumbo tulioletewa ni kituko , huyu january anaongea uongo mkubwa sana , vipaumbele lukuki !
 
Back
Top Bottom