Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka hapa naanza kuona kama muhongo ana akili kuliko wote...yeye alisema kupigana madongo hakutawatoa watanzania kwenye umasikini!
Jamaa yupo vizuri sana bt kamfumo ketu Kanawa favor dini ingine ile, wewe waweza kuwa Waziri kamili wa Tamisemi ijayo.WanaJF,
View attachment 258214
View attachment 258215
KAULI MBIU YA JANUARI MAKAMBA: TANZANIA MPYA-Ikiwa ni muendelezo wa watangaza nia kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), sasa ni zamu ya January Makamba kutangaza nia kutokea Mlimani City.
-January Makamba anaomba ridhaa ya chama kusimamishwa kuwa mgombea wa urais kufuatia wana CCM 15 kutangaza nia hiyo ya kuwania nafasi ya urais kupitia tiketi ya CCM.
-Hivi sasa kinachoendelea ni ushuhuda wa watu mbalimbali juu ya uongozi wa Januari Makamba.
-Mmoja wa wananchi wa jimbo la Bumbuli ametamka kuwa, "Januari ana kama Unyerere Unyerere hivi". Hii ana maanisha kuwa kijana ana ufuatiliaji wa hali ya juu na ana dhamira ya dhati ya kuwatumikia watu.
-Januari ameanza kuongea na amejielekeza moja kwa moja kutanga nia yake ya kuwania nafasi ya urais kupitia tiketi ya CCM, pia amesema kesho kutwa ataenda kuchukua fomu ya urais kutoka kwenye ofisi za CCM, Dodoma.
JANUARI ATATOA HOTUBA HII BILA YA KUSOMA POPOTE. HOTUBA YOTE IPO KICHWANI.- Januari anasisitiza kuwa Tanzania MPYA itajengwa na viongozi wenye fikra mpya.
- Januari ahaidi kuwa na mawaziri wasiozidi 18 tu katika baraza lake la mawaziri endapo chama chake kikimpa ridhaa ya kugombea urais kupitia CCM.
-Januari Makamba anaorodhesha ajenda tano kuu atakazo simamia endapo chama chake kitampa ridhaa ya kugombea na hatimae kuunda serikali.
............Update............
....Januari ahaidi kuwa serikali yake itatoa mikopo maalumu kwa vijana watakaomaliza vyuo vikuu ambao watapata changamoto ya ajila ili na wao waweze kufungua makampuni yao ili waweze kujizalishia kipato.
....Pia amesema katika serikali yake atahakikisha sekta ya nyumba ina mchango wa zaidi ya 25%, wakati sasa hivi ni chini ya 4% ikimaanisha Watanzania wengi hawana makazi. Hivyo katika uongozi wake hilo la makazi atalipa kipaumbele tofauti na ilivyo sasa.
....Uvuvi, serikali yake itaanzisha mifuko maaalumu ya kukopesha wavuvi ili waweze kununua vifaa vya uvuvi ili isaidie kuboresha vipato vya wavuvi na pia kukuza sekta hiyo kwa kasi.
....Serikali yangu itaongeza udahili wa walimu haswa kwa masomo ya sayansi. Pia ameahidi kutatua changamoto za walimu kama vile mishahara yao kuwa duni, kukosa posho na stahiki mbalimbali. Ahaidi serikali yake kutatua kero hizo kwa kukuza na kuboresha maslahi yao.
.... RUSHWA, amesema kuwa kulizungumza na kulipigia kelele tatizo la rushwa sio njia ya kulimaliza tatizo hilo.
....ARDHI, jinsi ya kuondoa migogoro kati ya wakulima na wafugaji. Serikali yake itabainisha kisheria maeneo ya kilimo, mifugo na makazi. Pia amesema wakulima na wafugaji watamiliki maeneo yao kisheria. Atatumia teknolojia mpya ya satellite kutekeleza hayo kupitia kituo maalumu kitachoundwa chini ya serikali yake. Lakini pia kituo hicho kitasaidia pia na mambo ya kiusalama.
....AFYA, kila Mtanzania lazima awe na bima ya afya, kila Mtanzania lazima apate huduma bora ya afya bila ya kujali kipato chake.
We wakuja fani za watu hizi unafikiri siku hizi watu wanasoma makaratasi kama lowassa.
tuchague kiongozi yambaye hatokuwa na deni la kulipa , najua umeshiba za mamviii mjiandae kurudishaSatelite,jamani January anachekesha
Kwani Dr.Slaa anavyotoa ahadi uwa anasema pesa atatoa mfukoni kwake?Serikali isiyofanya biashara inapata wapi pesa zaidi ya kutoza kodi na ushuru? Yeye hizo fedha aseme atatoa wapi maana hazina ni ile ile sio akiingia yeye itajaa mapesa ya kuwapa wanafunzi na wanavijiji kirahisi rahisi wabongo rahisi sana kudanganyika.
Yani wengi kupigana madongo utafikiri ndo yanasaidia kupunguza umaskini nchi hii. Hawa watia nia sijui wakoje nao. Mhongo si anajielewa.
Vijiji elfu 12 hiviJanuary atatoa milioni hamsini kwa kila kijiji,jamani Tanzania tuna vijiji vingapi?January atawezesha vyuo viweze kukopesha wanafunzi,Huku akisema kunawili kwa nchi hakutegemei kodi za mapato,bali kunategemea kuwainua watanzania.sasa hizo pesa za kugawa kama pipi atattoa wapi kama hatokusanya kodi ipasavyo?
Hivi Chadema lini wagombea wake wanatangaza nia zao kwa wananchi.
Hata wewe wa kuja tu umekuja mjini hauna hata miaka mitano mjini kutoka Morogoro halafu unatakiwa uniheshimu mimi shemeji yako kauzu wewe.
mwongo kushinda ww na mamvi wakoLugha zote mbili za kufundishia kwa wakati mmoja how,January muongo sana
mwongo kushinda ww na mamvi wako
sikio halizdi kichwa ccm ndo baba laoanasoma kilaza huyo