Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ana kiburi kipi na dharau zipi??? Na vyote hivo vinakuathiri vipi wewe kama Manzania wa kawaida????
Alafu ndugu yangu tulia kidogo alafu niambie tu hili, Kikwete ni mtaalam wa uchumi au Mchumi???? Ukishindwa hapo jaribu tu kutofautisha Lipumba ambaye ni Prof wa uchumi na Kikwete ni mchumi tu wa kawaida kwenye uelewa wao kuhusu mambo ya uchumi na hata upeo wao kwenye mambo ya uchumi.
kwa kifupi nchi zilizoendelea na zinazofanya kazi vizuri duniani zinatumia vizuri wataalam wao na kuwasikiliza tosha,acha tu kuwapa nafasi kwenye sehemu mbalimbali. Ukiwa na mapenzi mema na nchi yako utaacha chuki,wivu na hivo vitu vingine visivo na msingi na utawaza kuamua mazuri kwa mustakabali wa nchi yako.
Hebu nisaidie tu Obama ni mtaalamu wa nini? Na tukirudi kwetu Mkapa aliyeweza kudhibiti mfumuko wa bei ni mtaalamu wa nini?
Sidanganyiki.
