Kutoka ushabiki hadi kushare stage na Heavyweight jay wa Mitulinga: Nikki mbishi amwagiwa sifa baada ya kutoa back up ya kibabe show ya Professor Jay

Huo uwezo mkubwa Niki mbishi kaupata lini? Underground mwaka wa 15 huu
Hata bro wako Joh makini mbona naye kakariri ngoma ya bongo dar es salaam
Kubali kataa nikki mbishi kawazidi uwezo wasanii wote wa kundi lenu la weusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…