Uchaguzi 2020 Kutoka uwanja wa Jamhuri Dodoma CCM inaenda kuweka mustakabali wa Taifa

Umesahau uoga wa uchaguzi
Kuua democratisia
Kuwaokopa wapinzani wakati imepita miaka 5 unafanya campein pekeyako
 
waulize fedha za M4C na za wabunge na ruzuku zipo wapi??
Jingalao siku za karibuni, mlimuaminisha Mzee kuwa vyama karibu vyote vya upinzani vimekufa. Na hasa baada ya viongozi wengi wa huko kufika bei. Na kwa sababu Mzee amefanya makubwa . Je bado mna msimamo huo ?!.

Na kama kweli ni hivyo. Mbona mnaogopa box la kura ?!. Na je wapinzani kuenguliwa ndiyo kusema Ccm inakubalika sana kwa wananchi ??!!.

Kama hutojali nijibu kiungwana tu [emoji120]
 
Mikutano ya ccm watu wanaenda kuangalia wasanii uthibitisho ni huu Anglia show za diamond watu wanavyojaa tena kwa kulipa kiingilio kama hii ilikuwa iringa

je ukiwa bure itakuwaje
 
Ulitaka wapinzani waliokosea waachwe bila kuenguliwa?
kuna chama cha upinzani kipo hai kisera??
 
Sasa ulitaka atoe hela zake mfukoni
 
Ulitaka wapinzani waliokosea waachwe bila kuenguliwa?
kuna chama cha upinzani kipo hai kisera??
Awamu ya tano ndiyo wapinzani wanakosea kujaza fomu ?!. Na wale waliotekwa, na walionyanganywa mbele ya mkurugenzi (mtama) na wale waliofungiwa milango bila wasimamizi kuchukuwa fomu zao ?!.

Mnapendwa sana, basi waacheni wananchi wachague .
 
Njoo usikie ukweli dhidi ya uongo na ulaghai
 
CCM ilizaliwa mwaka 1977 Hadi leo wimbo wenu Ni huo huo. Na hamuoni aibu Wala hamuogopi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…