Uchaguzi 2020 Kutoka uwanja wa Jamhuri Dodoma CCM inaenda kuweka mustakabali wa Taifa

CCM OYEEEEEEE!
Kwa mara ya kwanza tangu Taifa letu liwe huru tunaenda kushuhudia chama tawala kikienda kuweka historia mpya kama ilivyo hulka yake kwa kuzindua kampeni za uchaguzi kwa namna ya kipekee katika makao makuu ya nchi DODOMA.
Haijawahi kutokea kwa Chama chochote kufanya kampeni ya ufunguzi katika jiji la DODOMA ambayo ni makao makuu ya nchi kwa miaka mingi.

Karibu DODOMA ya watanzania...
njoo usikie
1-Mafanikio ya Serikali chini ya CCM
2-Sera halisi na zinatokelezeka kisiasa
3-Utatuzi wa kero za wananchi wa hali ya chini
4-Ujasiri wa viongozi wakongwe ,waliopo na wajao
5-Mbinu za kushinda milipuko na dharura kama Covid 19
6-Ushughulikiaji wa mafisadi na wahujumu uchumi
7-Uboreshaji wa miundombinu
8-Kanuni za kukuza uchumi
9-Uboreshaji wa Afya za watanzania ikiwemo ujenzi wa hospitali ya UHURU
10-Ukusanyaji wa kodi kwa usawa
11-Uhuishaji wa Sera na matarajio ya waasisi wa Taifa letu
12-Misimamo ya Taifa dhidi ya mabeberu na ushoga.
13-Utatuzi wa kero za kijamii,kisiasa na kijamii
14-Mafanikio ya michezo na utamaduni
15-Utekelezaji wa kulinda amani na kuunganisha jamii
16-Ulinzi wa mipaka ya nchi dhidi ya maadui wote wa ndani,majirani na dunia nzima.
17-Uwajibikaji wa watumishi mashirika,asasi kwa jamii
18-Usimamizi wa Sheria,kanuni,taratibu na miongozo tuliyojiwekea
19-Ulinzi wa Rasilimali za nchi kwa minajili ya vizazi vijavyo
20-Sera na muelekeo wa kujitegemea kama Taifa huru kisiasa,kijamii,kiuchumi na kiutamaduni
21-Ukaribu wetu na wasanii,vijana,wazee,walemavu ,na makundi yote maalumu.
22-Sera zetu za kuikomboa Afrika nzima dhidi ya ukoloni mamboleo.
23-Uboreshaji wa Elimu endelevu yenye maudhui ya kujitegemea na kuandaa watu wenye weledi rithi wa kidunia.
24-Mbinu zilizotuingiza uchumi wa kati
25-Utegemezi wetu kwa Mungu muumba aliyeashiria mwanadamu wa kwanza alikuwa anaishi Tanzania.
26-Njoo usikie ukweli unaopinga Uongo na Ulaghai
Na mengineyo mengi ambayo yamejiri na yatakayojiri..

HAKUNA MWANAHABARI ATAKAYEFUKUZWA KAMA MBWA

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Leo dom mbunye mnauza kwa mafungu,naskia bongo movie unakamua kwa backet moja ya serengeti lite...halafu makada unakamua kwa kvant ndogo
 
Kesho msikose kuja kuangalia tamasha la music kubwa kabisa hapa Dodoma wasanii wakubwa wooote watakuwepo,kiingilio ni bure kabisaaa na muda ni kuanzia saa 2 asubuhi mpk majogooo.
 
Wameshuka Leo kutoka mpwapwa kongwa kondoa hao
tapatalk_1597239291251.jpeg
tapatalk_1597239287596.jpeg
 
Bavicha huwa wanatamba Mbowe ni tajiri tangu enzi za Nyerere lakini kila unapofika uchaguzi Chadema huwa hoi sana kipesa kwenye kampeni!!

Mfano uzinduzi wa kampeni leo ni hovyo kabisa na ni dhahiri chadema hawana pesa.

Je utajiri wa Mbowe una manufaa gani kwa Chadema??
Utajiri upi huo? Alioupata wakati anafanya kazi Benki Kuu? Wacheni dhihaka Mbowe ni conman tu! Alipewa Bilicana wakati wa Lowasa ikabidi alipe fadhila tu! Fact the guy anaishi kiujanjaujanja tu. Siku ya kwanza tu kaanza na michango. Na bado michango kila anakokwenda tena kwa shuruti. Ile michango ya wabunge ilikwenda na alijojo.
 
CCM OYEEEEEEE!
Kwa mara ya kwanza tangu Taifa letu liwe huru tunaenda kushuhudia chama tawala kikienda kuweka historia mpya kama ilivyo hulka yake kwa kuzindua kampeni za uchaguzi kwa namna ya kipekee katika makao makuu ya nchi DODOMA.
Haijawahi kutokea kwa Chama chochote kufanya kampeni ya ufunguzi katika jiji la DODOMA ambayo ni makao makuu ya nchi kwa miaka mingi.

Karibu DODOMA ya watanzania...
njoo usikie
1-Mafanikio ya Serikali chini ya CCM
2-Sera halisi na zinatokelezeka kisiasa
3-Utatuzi wa kero za wananchi wa hali ya chini
4-Ujasiri wa viongozi wakongwe ,waliopo na wajao
5-Mbinu za kushinda milipuko na dharura kama Covid 19
6-Ushughulikiaji wa mafisadi na wahujumu uchumi
7-Uboreshaji wa miundombinu
8-Kanuni za kukuza uchumi
9-Uboreshaji wa Afya za watanzania ikiwemo ujenzi wa hospitali ya UHURU
10-Ukusanyaji wa kodi kwa usawa
11-Uhuishaji wa Sera na matarajio ya waasisi wa Taifa letu
12-Misimamo ya Taifa dhidi ya mabeberu na ushoga.
13-Utatuzi wa kero za kijamii,kisiasa na kijamii
14-Mafanikio ya michezo na utamaduni
15-Utekelezaji wa kulinda amani na kuunganisha jamii
16-Ulinzi wa mipaka ya nchi dhidi ya maadui wote wa ndani,majirani na dunia nzima.
17-Uwajibikaji wa watumishi mashirika,asasi kwa jamii
18-Usimamizi wa Sheria,kanuni,taratibu na miongozo tuliyojiwekea
19-Ulinzi wa Rasilimali za nchi kwa minajili ya vizazi vijavyo
20-Sera na muelekeo wa kujitegemea kama Taifa huru kisiasa,kijamii,kiuchumi na kiutamaduni
21-Ukaribu wetu na wasanii,vijana,wazee,walemavu ,na makundi yote maalumu.
22-Sera zetu za kuikomboa Afrika nzima dhidi ya ukoloni mamboleo.
23-Uboreshaji wa Elimu endelevu yenye maudhui ya kujitegemea na kuandaa watu wenye weledi rithi wa kidunia.
24-Mbinu zilizotuingiza uchumi wa kati
25-Utegemezi wetu kwa Mungu muumba aliyeashiria mwanadamu wa kwanza alikuwa anaishi Tanzania.
26-Njoo usikie ukweli unaopinga Uongo na Ulaghai
Na mengineyo mengi ambayo yamejiri na yatakayojiri..

HAKUNA MWANAHABARI ATAKAYEFUKUZWA KAMA MBWA

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Kama hii kumi na mbili hiii,,,......
 
Bavicha huwa wanatamba Mbowe ni tajiri tangu enzi za Nyerere lakini kila unapofika uchaguzi Chadema huwa hoi sana kipesa kwenye kampeni!!

Mfano uzinduzi wa kampeni leo ni hovyo kabisa na ni dhahiri chadema hawana pesa.

Je utajiri wa Mbowe una manufaa gani kwa Chadema??
Sana sana kulipia bili za faru john counter.
 
Mikutano ya ccm watu wanaenda kuangalia wasanii uthibitisho ni huu Anglia show za diamond watu wanavyojaa tena kwa kulipa kiingilio kama hii ilikuwa iringa
View attachment 1551232
je ukiwa bure itakuwaje
Sawa kwana chadema mmekatazwa kuweka wasanii?? ,kuleta wasanii ni moja ya mbinu yakuwavuta raia kwa wingi na kisha kunadi sera za chama katika watu kumi hauwezi ukakosa watu ata watano watakao kuelewa.
 
NO... Tunakwenda kuangalia miunooo

Ova
 
Back
Top Bottom