Kutoka Uwanja wa Sokoine, Mbeya: Mbeya City vs Yanga SC

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dada yangu huyo tukifika hapo tu ndio tunatofautiana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ye ni Simba lialia. Shunie
Hahaha. Mwakani kupanda ndege watakusikia kwa jirani.

Kuna shabiki wa mikia amesema wataota sugu mabegani kwa kujifunga mikanda kwa safari za ndege.

Mwisho wao ni kundi D
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…