Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Tunaongoza hukoo.Sina dada ebu nijuze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaongoza hukoo.Sina dada ebu nijuze
Hata wew ile ya nkana hukuonekanaHalafu mechi ya mashujaa hukuonekana hapa. 😀😀😀
Hahahaa. Kama nakuona. Haya pole Dada.Hahhaha kaniudhi mm najua sijui ana tatizo gani ananiletea habari zake za yanga
Pole Mtani utajifariji saa moja.
Hahaha. Mwakani kupanda ndege watakusikia kwa jirani.
Nilikuwa Uwanjani Mkuu kuishabikia Nkana si unajua ukiwa kule network inasumbua. 😜Hat
Hata wew ile ya nkana hukuonekana
Hongereni jamaniTunaongoza hukoo.
Nadhani hivyo. 😂😂😂 hakujua.Huyo dafu na ndimu apambane tu na hali yake hivi alijua mm yanga mwenzie au
Duwa la kukuHahaha. Mwakani kupanda ndege watakusikia kwa jirani.
Kuna shabiki wa mikia amesema wataota sugu mabegani kwa kujifunga mikanda kwa safari za ndege.
Mwisho wao ni kundi D
Hahahaha akajua nitazidi kumfarijiNadhani hivyo. [emoji23][emoji23][emoji23] hakujua.
Asante dada akeeHahahaa. Kama nakuona. Haya pole Dada.
Yanga inacheza na mikia ndani ya mbeya city.Hili jukwaa hata sielewi nimefikaje, tunajadili nini kwani?
Hata thread haieleweki.
Ndio ninii
Yabidi utoke tu sasa. Utaielewa tu mpira ukiisha.Hili jukwaa hata sielewi nimefikaje, tunajadili nini kwani?
Hata thread haieleweki.
🙏🙏🙏Hongereni jamani