Ekuweme
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 3,520
- 3,962
Naombea mwaka huu Yanga ichukue ubingwa halafu kule Zambia Nkana naona wachukue halafu wake wakutane mwakani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzako anajifanya kuibeza wakati hali yenu ni tia maji tia maji.Ndio maana hata nyinyi mnatumia nguvu kubwa hili angalau mwakani mpande ndege.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ligi hii hii ndo inayokufanya mikia mpande ndege
Umesahau kwamba hata Mikia ni zao la ligi za kichawi eee?
Yanga kwa Makambo mmelamba dume, hahitaji nafasi za wazi kufunga sio kama lile Bocco la Simba garasa tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiandae ww kwanzaJiandaeni kisaikolojia leo mtakufa kifo kibaya sana
KILA LAKHERI MBEYA CITY
Angalieni msije kosa maji ya moto na mwana.Tutachukue lile kombe, twende kama watetezi.
Hili tumeamua kuwaachia ndugu zetu.
Hahahaa. Mawazo yenu tu ndio yalikuwa mabaya. Sababu ile kitu ni ya kawaida mbona.Toka tushindwe kuwafunga siku ile Ajibu anaanza mpira kwa kupiga nje niliwachoka.
Una angalia ligi ya Tanzania tu?jaribu kufatilia na ligi kubwa za ulaya utagundua ni jambo la kawaida tuToka tushindwe kuwafunga siku ile Ajibu anaanza mpira kwa kupiga nje niliwachoka.
😂😂😂😂 Swahiba naona unamlisha refa maneno. 😂😂😂Refa anawaambia Yanga wapunguze kubutua butua ili mashabiki waone burudani
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga wanabutua sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Swahiba naona unamlisha refa maneno. [emoji23][emoji23][emoji23]
Toka mda tunawaambia mpira wa show wameachiwa simba na azam ukija kwa yanga ni point 3 tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mi naona mpaka naombea game iishe sababu Mbeya City wametusakama sana aisee.