Sasa hivi kapewa Yellow kwa kosa la kupiga mtu kiwiko. Na bado ilikuwa red tena.Nadhani ndio maana mpira ulimshinda akawa anasugua huko alikotoka, sio uanamichezo kwa kitendo alichofanya, na bado refa hakuchukua hatua yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuchezi Tena tumezidi kuonewa yani yanga Kama arsenal tu marefa hawatupendiMalalamiko fc goma linalala hilo🤣🤣🤣🤣
Ha ha ha...
Kusema kweli ile penalt nimeangalia highlight ilitakiwa kurudiwa...Yanga isahau ubingwa
Alisikika shabiki wa mnyama akiwang'ong'a var fcHatuchezi Tena tumezidi kuonewa yani yanga Kama arsenal tu marefa hawatupendi
Sent using Jamii Forums mobile app