Unaweza kuziainisha hizo dhuluma? Kumbuka Simba haiko level za Yanga tena kwa mujibu wa CAFNi upuuzi kushabikia Goal lililopatikana katika mazingira ya dhuluma. Mpira wetu bado sana, upuuzi tu.
Umeongea Point SANAAAAMnao lalamikia muda mjue kwamba muda haukuongezwa kwaajili ya Simba tu bali hata wapinzani wao.
mimi nipo taifa jombii..... na kingine aamini tv huwa hawasimamishi saa pale mchezaji anapopoteza muda..... HAO WANAJESHI WAMEPATA HAKI YAO.Basi ulikuwa unasikiliza redioni. Hapa nazungumzia dakika za mchezo zinazooneshwa katika tv.
Nakuona unavyopiga vyombo mateke [emoji23][emoji23][emoji23]. Kwani zikiongezwa dk nyingi hiyo timu pinzani inazuiwa kucheza?Ni upuuzi kushabikia Goal lililopatikana katika mazingira ya dhuluma. Mpira wetu bado sana, upuuzi tu.
Kwa mazingira ya mchezo dakika ziliongezwa kwaajili ya Simba maana JKT wako pungufu, Refa anaonesha upendeleo (kimaamuzi) kwa simba na pia muda uliiongezwa haukuzingatia muda halisi uliopotea mchezoni.Mnao lalamikia muda mjue kwamba muda haukuongezwa kwaajili ya Simba tu bali hata wapinzani wao.
Wachezaji wa JKT Tanzania ulikuwa unaona wanachokifanya uwanjani pamoja na kipa wao?Mpira umechezwa dakika 99, Goal limepatikana dakika ya 98 wakati dakika zilizoongezwa ni 7!!!!
Abraham Mohammed kipa wa JKT TANZANIA alipewa kadi ya njano dk ya 66 kama sikosei kwa kupoteza muda ikawa muendelezo wao huna fact mtani hata ukienda kamati ya masaa 72 wanakupiga K.OKawa mazingira ya mchezo uliongezwa kwaajili ya Simba maana JKT wako pungufu, Refa anaonesha upendeleo (kimaamuzi) kwa simba na pia muda uliiongezwa haukuzingatia muda halisi uliopotea mchezoni.
Hahaha nawashangaa sana hawa vyura. Unafikiri JKT wangepata goli wasingeshukuru kuongezwa kwa muda.Umeongea Point SANAAAA
Maana ya kutosimamisha muda ndo zile dakika za nyongeza. Sasa kwa mtazamo wako unaona ni sahihi kuongeza dakika 7!? Unaamini dakika saba zilipotea katika mchezo!? Tuache mahaba. Mimi ni shabiki mzuri sana wa Simba lkn napinga vitendo hivi vya upangaji matokeo, tuache mpira uchezwe mshindi apatikake kwa juhudi na uwezo wake.mimi nipo taifa jombii..... na kingine aamini tv huwa hawasimamishi saa pale mchezaji anapopoteza muda..... HAO WANAJESHI WAMEPATA HAKI YAO.
Wangepata goli JKT ungeandika hiki ulichosemaMpira umechezwa dakika 99, Goal limepatikana dakika ya 98 wakati dakika zilizoongezwa ni 7!!!!
Kila baada ya saa 48 simba inacheza na hatulalamiki yanga unakumbuka ilicheza baada ya masaa 72 kwenye mchezo dhidi ya coastal union na singida mlizocheza Zahera akalalamika sana?mbereko fc mpaka kadi nyekundu ndio mshinde kubebwa kila siku
Yanga huyu mchungaji wenu lazima tumpige mbukuti nyamambereko fc mpaka kadi nyekundu ndio mshinde kubebwa kila siku
Wajeda wanaotakiwa waunde timu ya Taifa. By JPMmimi nipo taifa jombii..... na kingine aamini tv huwa hawasimamishi saa pale mchezaji anapopoteza muda....
. HAO WANAJESHI WAMEPATA HAKI YAO.
Simba watacheza na Sevilla.Hii Mechi inaonyesha utoto wa soka la Tanzania ndio maana ni kichwa cha mwendawazimu hizi timu ndio mtatoka mwende nje mkafanyenini?...
Huu utoto ndio unatuangusha kama nchi kupata maendeleo......
Kwani wakiwa pungufu ndio kufungwa? Mara ngapi timu onashinda ikiwa pungudu. Point tatu muhimuKawa mazingira ya mchezo uliongezwa kwaajili ya Simba maana JKT wako pungufu, Refa anaonesha upendeleo (kimaamuzi) kwa simba na pia muda uliiongezwa haukuzingatia muda halisi uliopotea mchezoni.