Kutoka Uwanja wa Taifa - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania

Kutoka Uwanja wa Taifa - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania

Basi ulikuwa unasikiliza redioni. Hapa nazungumzia dakika za mchezo zinazooneshwa katika tv.
mimi nipo taifa jombii..... na kingine aamini tv huwa hawasimamishi saa pale mchezaji anapopoteza muda..... HAO WANAJESHI WAMEPATA HAKI YAO.
 
Ni upuuzi kushabikia Goal lililopatikana katika mazingira ya dhuluma. Mpira wetu bado sana, upuuzi tu.
Nakuona unavyopiga vyombo mateke [emoji23][emoji23][emoji23]. Kwani zikiongezwa dk nyingi hiyo timu pinzani inazuiwa kucheza?
Wangeshinda hao wengine ungelalamika??
 
Hii Mechi inaonyesha utoto wa soka la Tanzania ndio maana ni kichwa cha mwendawazimu hizi timu ndio mtatoka mwende nje mkafanyenini?...

Huu utoto ndio unatuangusha kama nchi kupata maendeleo......
 
Mnao lalamikia muda mjue kwamba muda haukuongezwa kwaajili ya Simba tu bali hata wapinzani wao.
Kwa mazingira ya mchezo dakika ziliongezwa kwaajili ya Simba maana JKT wako pungufu, Refa anaonesha upendeleo (kimaamuzi) kwa simba na pia muda uliiongezwa haukuzingatia muda halisi uliopotea mchezoni.
 
Kawa mazingira ya mchezo uliongezwa kwaajili ya Simba maana JKT wako pungufu, Refa anaonesha upendeleo (kimaamuzi) kwa simba na pia muda uliiongezwa haukuzingatia muda halisi uliopotea mchezoni.
Abraham Mohammed kipa wa JKT TANZANIA alipewa kadi ya njano dk ya 66 kama sikosei kwa kupoteza muda ikawa muendelezo wao huna fact mtani hata ukienda kamati ya masaa 72 wanakupiga K.O
 
Umeongea Point SANAAAA
Hahaha nawashangaa sana hawa vyura. Unafikiri JKT wangepata goli wasingeshukuru kuongezwa kwa muda.
Sijaangalia match lakini unaweza kukuta kwamba JKT wamejiangusha sana na kupoteza muda ambao dawa wameipata jioni.
 
mimi nipo taifa jombii..... na kingine aamini tv huwa hawasimamishi saa pale mchezaji anapopoteza muda..... HAO WANAJESHI WAMEPATA HAKI YAO.
Maana ya kutosimamisha muda ndo zile dakika za nyongeza. Sasa kwa mtazamo wako unaona ni sahihi kuongeza dakika 7!? Unaamini dakika saba zilipotea katika mchezo!? Tuache mahaba. Mimi ni shabiki mzuri sana wa Simba lkn napinga vitendo hivi vya upangaji matokeo, tuache mpira uchezwe mshindi apatikake kwa juhudi na uwezo wake.
 
mbereko fc mpaka kadi nyekundu ndio mshinde kubebwa kila siku
Kila baada ya saa 48 simba inacheza na hatulalamiki yanga unakumbuka ilicheza baada ya masaa 72 kwenye mchezo dhidi ya coastal union na singida mlizocheza Zahera akalalamika sana?
 
mbereko fc mpaka kadi nyekundu ndio mshinde kubebwa kila siku
Yanga huyu mchungaji wenu lazima tumpige mbukuti nyama
IMG-20190428-WA0020.jpeg
 
mimi nipo taifa jombii..... na kingine aamini tv huwa hawasimamishi saa pale mchezaji anapopoteza muda....
. HAO WANAJESHI WAMEPATA HAKI YAO.
Wajeda wanaotakiwa waunde timu ya Taifa. By JPM
 
Kawa mazingira ya mchezo uliongezwa kwaajili ya Simba maana JKT wako pungufu, Refa anaonesha upendeleo (kimaamuzi) kwa simba na pia muda uliiongezwa haukuzingatia muda halisi uliopotea mchezoni.
Kwani wakiwa pungufu ndio kufungwa? Mara ngapi timu onashinda ikiwa pungudu. Point tatu muhimu
 
Back
Top Bottom