Kutoka Uwanja wa Taifa - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania

Kutoka Uwanja wa Taifa - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania

Nimefurahi kukuona Dada. Naona jana kuifunga Jkt Tanzania mnashangilia kama mmepata ubingwa wa Afrika.

Nilicheka sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuwacheeee

Basi bwana jana kuna sehemu nilikuwepo nasikia makeleke nikajua yale makelele tumefungwa kuuliza naambia dilunga huyo nilichoka ila acha na mm nishangilie
 
Hahahaaaaa. Nimecheeeeeka. Hahahaaaaaaaaa.

Na kamlango ka jikoni nimekarudishia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najua mm hizo mambo

Ukisikia miguu tu unalog out
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuwacheeee

Basi bwana jana kuna sehemu nilikuwepo nasikia makeleke nikajua yale makelele tumefungwa kuuliza naambia dilunga huyo nilichoka ila acha na mm nishangilie
Hatuwawaachi. 💃💃😂😂😂

Wengi walishakata tamaa na kujua mmesuluhu ila ndio hivyo bahati ikawa kwenu.
 
Hatuwawaachi. [emoji126][emoji126][emoji23][emoji23][emoji23]

Wengi walishakata tamaa na kujua mmesuluhu ila ndio hivyo bahati ikawa kwenu.
Hahahaha
Yale makelele ya jana kama tulivyowafunga mazembe
 
Hahahaha
Yale makelele ya jana kama tulivyowafunga mazembe
Ila mnatia aibu sana Dada.

Yaani wana robo fainali ushindi wenu unakuwa tia maji tia maji mpaka tunapata hofu na ile kauli yenu kwamba Ligi kuu Tanzania sio saizi yenu.
 
Ihefu
IMG_20190502_095904_561.JPG
 
Back
Top Bottom