Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

Ikiwa bingwa simba amecheza mpira wa kiwango cha chini nae ni bingwa wa Tanzania, tunajifunza nini?
 
Safi sana, hata mm nilifrahi sana. Wao walifrahi Rais kwenda uwanjani sisi tumefrahi wao kufungwa mbele ya Rais.
Ningemuomba Haji aje aseme kuwa Simba ndio team ya kwanza kufungwa mbelae ya Mh. Rais JPM
Hahaaaa. Nimecheka sana ujue.

Ndio aje aseme kwa kweli sababu kwenye ile press alisema wao kila kitu ndio huwa ni wa kwanza.
 
Hahaaaa. Nimecheka sana ujue.

Ndio aje aseme kwa kweli sababu kwenye ile press alisema wao kila kitu ndio huwa ni wa kwanza.
Ndio hvyo mkuu aje atutangazie tena na hili
 
Hahaaaa. Lol.

Sidhani kama ana ubavu huo aiseee. Kwanza nawaza huko Instagramuni sijui twitterni kama katia maguu tangia jana.
Inawezekana anachungulja tu na kukimbia akiona vipondo
 
Saa nyingine unawaacha watoto wachezee masharubu, haidhuru
Ni sawa na binti kutunza nibikira mpaka aolewe then anabakwa na kichaa siku ya harusi.
Hapo harusi lazima iharibike maana mtaanza kudeal kumkamata chizi,wengine wampeleke bi harusi hospital yaani ni majonzi tele. Sio mbaya JPM kasema jana kagera wamefanikiwa kutoboa katundu kamoja kwa simba
 
Saa nyingine hata kama mnashindana kukimbia ufukweni na mkeo unajifanyisha umeshindwa, unamuacha tu aamini kua ana speed kuliko wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…