Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaaa. Hii kali Sesten.Saa nyingine hata kama mnashindana kukimbia ufukweni na mkeo unajifanyisha umeshindwa, unamuacha tu aamini kua ana speed kuliko wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa. Hii kali Sesten.Saa nyingine hata kama mnashindana kukimbia ufukweni na mkeo unajifanyisha umeshindwa, unamuacha tu aamini kua ana speed kuliko wewe
Hatushindwi kuwaachia hata hao Majimaji, miaka ya nyuma Simba iliwahi kuchukua ubingwa kabda ya ligi kuisha na mechi ya mwisho wala hawakujisumbua kupeleka timu uwanjani, sema TFF wakabadili sheria, ukifanya hivyo unashushwa daraja. Naona na sasa wataweka sheria ukichukua ubingwa kabda ya ligi kuisha huruhusiwi kufungwa na timu yoyoteMmh. Bado unanigunisha Sesten.
Muwaachie na Majimaji basi.
Kwani haiwezekani Hajar!!!?Hahaaaa. Hii kali Sesten.
Habari ndiyo hiyoHahaaaa. Lol
Ooh. Sawa SestenHatushindwi kuwaachia hata hao Majimaji, miaka ya nyuma Simba iliwahi kuchukua ubingwa kabda ya ligi kuisha na mechi ya mwisho wala hawakujisumbua kupeleka timu uwanjani, sema TFF wakabadili sheria, ukifanya hivyo unashushwa daraja. Naona na sasa wataweka sheria ukichukua ubingwa kabda ya ligi kuisha huruhusiwi kufungwa na timu yoyote
Hahaaaa. Inawezekana sana tu.Kwani haiwezekani Hajar!!!?
Sasa ndio hivyo, hatukushindwa kuwaadhibu kina Kaseja lakini tukasema ngoja na wao kama vijana wetu wafurahi katika siku ya kukabidhiwa kombe letu, hahahaaaaHahaaaa. Inawezekana sana tu.
Hahaaa. Haya maneno ya kujifariji bana ila ukweli ni kwamba rekodi mmeitibua.Sasa ndio hivyo, hatukushindwa kuwaadhibu kina Kaseja lakini tukasema ngoja na wao kama vijana wetu wafurahi katika siku ya kukabidhiwa kombe letu, hahahaaaa
Yaani badala ya kutupa hongera wee unatupa pole! Yanini sasa kwa mfano Hajar?Hahaaa. Haya maneno ya kujifariji bana ila ukweli ni kwamba rekodi mmeitibua.
Poleni sana Sesten.
Hahaaaa. Ya kufungwa.Yaani badala ya kutupa hongera wee unatupa pole! Yanini sasa kwa mfano Hajar?
Hahahaaa, Yanga bana, kubalini tu mwaka huu maji yalizidi unga, hii kisimama nyuma ya Kagera Sugar ni kujifariji tuHahaaaa. Ya kufungwa.
Hahaaaa. LolHahahaaa, Yanga bana, kubalini tu mwaka huu maji yalizidi unga, hii kisimama nyuma ya Kagera Sugar ni kujifariji tu
Maana sijawahi sikia pongezi zenu kwa ubingwa wetu atii!Hahaaaa. Lol
Wewe ulipongeza lini Yanga anavochukua ubingwa mara 3 mfululizo?. Simba ni wapumbavuMaana sijawahi sikia pongezi zenu kwa ubingwa wetu atii!
Utawapongezaje sasa wakati wanachezea vichapo kila kukichaWewe ulipongeza lini Yanga anavochukua ubingwa mara 3 mfululizo?. Simba ni wapumbavu
Babu yangu aliwahi kuniambia Zamani hizo, ukiwa na sherehe yako na unataka kualika wageni rasmi use makini sana. Kuna wengine wana gundu lazima wataigeuza furaha ya sherehe yako kuwa hudhuni.Zungumzia Rais alivyotia gundu vipigo vyetu.. Tumecheza na timu zote,dunia nzima tulikuwa timu ambayo haijafungwa kaja yeye tu tumechapwa. Okwi sio wa kudakiwa penati
Hahahahaha uwiiii nimecheka sana, Simba hamuishiwi maneno, MNA nini?Zungumzia Rais alivyotia gundu vipigo vyetu.. Tumecheza na timu zote,dunia nzima tulikuwa timu ambayo haijafungwa kaja yeye tu tumechapwa. Okwi sio wa kudakiwa penati