Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

Yanga ina hazina ya watu wenye weledi, timu anapewa Tarimba Abas muda si mrefu, sio nyie majanga akiondoka Mo maana mashabiki wenu ni kina bi Hindu na Msaga sumu
Huyu mzee wa kubeti, ataiweka hadi yanga mzigoni.
 
Woyooooo [emoji23][emoji23][emoji23] kama nawaona mashabiki wa simba Glandmalta[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa ndio huwa nawakubali wahaya
IMG-20180519-WA0003.jpg
 
Manji harudi, alafu malinzi simtegemei awatoe hapa. Nyie kushinda sasa ni mpaka simba ifanye vibaya ila sio kuipiku kwa kiwango zaidi.
Ni kweli Aisee.

Maana tangu mwaka 1935 kipindi Yanga anakusanya Makombe ya VPL walisaidiwa na Manji na Malinzi.
 
Wapuuzi mmeruhusu sherehe zenu za ubingwa kuporwa na wanasiasa hapo mlikuwa kama wageni waalikwa!....
 
NIwachekrshe TU PENALTY AIJAPIGWA BANGO LA MAGOLI LIKAONYESHA 1-1 .IMEPIGWA TUKAONA MSHTUKO IMEZIMA GAFLA LOH
 
Wa aleykum salaam warahma tullah taala wabarakatuh.

Hahahaaa. Wacha kabisa ujue mtu akijitapa ile hali haijui kesho halafu ikaja kule kujitapa kukazimwa huwa inakuwa zaidi ya furaha.

Nilifurahi bana. Acha tu Mkuu.
Safi sana, hata mm nilifrahi sana. Wao walifrahi Rais kwenda uwanjani sisi tumefrahi wao kufungwa mbele ya Rais.
Ningemuomba Haji aje aseme kuwa Simba ndio team ya kwanza kufungwa mbelae ya Mh. Rais JPM
 
Back
Top Bottom