MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
Hahaaah eti anaongelewa mnyama...kapambaneni na hali yenu kwanza wazee wa kupigwa mechi hat trick mfululizoHahahaaaa. Hapa anaongelewa Mnyama Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaah eti anaongelewa mnyama...kapambaneni na hali yenu kwanza wazee wa kupigwa mechi hat trick mfululizoHahahaaaa. Hapa anaongelewa Mnyama Mkuu.
Huyu mzee wa kubeti, ataiweka hadi yanga mzigoni.Yanga ina hazina ya watu wenye weledi, timu anapewa Tarimba Abas muda si mrefu, sio nyie majanga akiondoka Mo maana mashabiki wenu ni kina bi Hindu na Msaga sumu
Ni kweli Aisee.Manji harudi, alafu malinzi simtegemei awatoe hapa. Nyie kushinda sasa ni mpaka simba ifanye vibaya ila sio kuipiku kwa kiwango zaidi.
Hongera sana @simbasportclub kwa kuchukua ubingwa 2017/2018
Naaam... Tena kapigwa mechi ya tano mfululizo [emoji13] [emoji13] [emoji13] wanajangwani hoyee, akilimali hoyeeMnyama amekalia kitu chenye ncha kali.
Wacha kupanic basi Mtani.Hahaaah eti anaongelewa mnyama...kapambaneni na hali yenu kwanza wazee wa kupigwa mechi hat trick mfululizo
Mkuu assalaam aleykum, sipati picha ya fraha yako ya jana.Wacha kupanic basi Mtani.
Ukweli unabaki pale pale rekodi mmeitibua Mtani.
Hapa ndio huwa nawakubali wahayaView attachment 781507
Wa aleykum salaam warahma tullah taala wabarakatuh.Mkuu assalaam aleykum, sipati picha ya fraha yako ya jana.
Safi sana, hata mm nilifrahi sana. Wao walifrahi Rais kwenda uwanjani sisi tumefrahi wao kufungwa mbele ya Rais.Wa aleykum salaam warahma tullah taala wabarakatuh.
Hahahaaa. Wacha kabisa ujue mtu akijitapa ile hali haijui kesho halafu ikaja kule kujitapa kukazimwa huwa inakuwa zaidi ya furaha.
Nilifurahi bana. Acha tu Mkuu.