Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

Mishahara tutalipa...timu imetikisika sikatai ni upepo unapita tu..tutakaa sawa
Manji harudi, alafu malinzi simtegemei awatoe hapa. Nyie kushinda sasa ni mpaka simba ifanye vibaya ila sio kuipiku kwa kiwango zaidi.
 
Manji harudi, alafu malinzi simtegemei awatoe hapa. Nyie kushinda sasa ni mpaka simba ifanye vibaya ila sio kuipiku kwa kiwango zaidi.
Yanga ina hazina ya watu wenye weledi, timu anapewa Tarimba Abas muda si mrefu, sio nyie majanga akiondoka Mo maana mashabiki wenu ni kina bi Hindu na Msaga sumu
 
usijifanye hujui na wewe...Simba mmechezea kichapo cha mbwa koko [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
na yanga mmechezea nini

sisi ndo mabingwa wa nchi kunyweni sumu mtapike mfe simba ndo bingwa

shuhulikeni ya kwenu gongowazi..mmelambwa na mwadui bado gormahia wanawasubiri wafanye yao
shubamiit
 
Koh koh koh koh

Watani zangu aminas ,Ghazwat , Sesten Zakazaka , Barafu ya moto na King Ngwaba bila kumsahau Mshuza2 naombeni maji jamani lol.

JIFANYENI YENU HAMUYAONI ↓↓↓

[HASHTAG]#VPL[/HASHTAG] Kule Kambarage Shinyanga, mpira umemalizika, na Yanga wanafungwa bao 1-0 na Mwadui FC, wakiwa wanapoteza mchezo wa tatu mfululizo.

Mwadui FC 1-0 Yanga SC

IMG_20180519_194119.jpg
 
[HASHTAG]#VPL[/HASHTAG] Kule Kambarage Shinyanga, mpira umemalizika, na Yanga wanafungwa bao 1-0 na Mwadui FC, wakiwa wanapoteza mchezo wa tatu mfululizo.

Mwadui FC 1-0 Yanga SC

View attachment 781404
Hahahaaa. Yetu yanajulikana hayo Mtani.

Sasa Mtani mbona ulichokuja nacho sio nilichokuitia lakini?.

Ila Mtani leo mmeisoma namba Wallah vile. Si ndio nyie mliosema hampotezi mechi nyieee. [emoji12][emoji12] amaaa?
 
Mbona Munajitekenya Mukicheka Wenyewe? Sasa Si Munasema Yanga Ni Timu Ya Wananchi ? iweje Wananchi Hao Wa Dar Waitakie Simba Ushindi kama Unvyoclaim?
Mimi Nilidhani Mumejiaminisha Kwamba WaDar Wengi Ni Washabiki wenu!
 
Back
Top Bottom