Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

Mmh. Bado unanigunisha Sesten.

Muwaachie na Majimaji basi.
Hatushindwi kuwaachia hata hao Majimaji, miaka ya nyuma Simba iliwahi kuchukua ubingwa kabda ya ligi kuisha na mechi ya mwisho wala hawakujisumbua kupeleka timu uwanjani, sema TFF wakabadili sheria, ukifanya hivyo unashushwa daraja. Naona na sasa wataweka sheria ukichukua ubingwa kabda ya ligi kuisha huruhusiwi kufungwa na timu yoyote
 
Ooh. Sawa Sesten
 
Sasa ndio hivyo, hatukushindwa kuwaadhibu kina Kaseja lakini tukasema ngoja na wao kama vijana wetu wafurahi katika siku ya kukabidhiwa kombe letu, hahahaaaa
Hahaaa. Haya maneno ya kujifariji bana ila ukweli ni kwamba rekodi mmeitibua.

Poleni sana Sesten.
 
Naona kazi ya kuonyoosha nchi amekamilisha sasa anaanza kuwa mkabidhi makombe.
Aalikwe na kwenye UMISSETA kipenzi chetu.
 
Zungumzia Rais alivyotia gundu vipigo vyetu.. Tumecheza na timu zote,dunia nzima tulikuwa timu ambayo haijafungwa kaja yeye tu tumechapwa. Okwi sio wa kudakiwa penati
Babu yangu aliwahi kuniambia Zamani hizo, ukiwa na sherehe yako na unataka kualika wageni rasmi use makini sana. Kuna wengine wana gundu lazima wataigeuza furaha ya sherehe yako kuwa hudhuni.
Kwa wakati ule nilicheka na kudharau, ila sasa nimeelewa.
Nakumbuka miaka ile Sumaye WM, alikuwa akiitwa na Simba mechi za kimataifa ilikuwa lazima Simba amkanye mtu. Sasa ole wenu viongozi mlete kiherehere eti tunamwita sijui nani! Tutakiwakisha! Hatutaki huzuni sie
 
Back
Top Bottom