Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

Hahaaa. Wanajitahidi kukila ila kinawashinda lol.

Swahiba nimemuona Manara anavyojifariji. Hahaaaa.
Uyo manara aliwaaminisha kuwa wanamaliza bila upoteza ndo mana kawa mdogo leo

Wamewekarecord ya kupoteza mbele ya raisi tena raisi anasema hii ndo mechi yake ya kwanza kwenda uwanjani kushuhudia

Leo nafuturu poa kabisaa roho saafi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wasifungwe wao ni Nani..??? Embu wakafie mbali huko naona wanashangilia kombe hapa ila moyoni wanalia...mikeka imechanika tena wakikaa vibaya wataoga maji ya MAJIMAJI[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Hahaaaa. Ndio hapo Kaka.

Hawajui kwamba mpira hauchezwi mdomoni.
 
Uyo manara aliwaaminisha kuwa wanamaliza bila upoteza ndo mana kawa mdogo leo

Wamewekarecord ya kupoteza mbele ya raisi tena raisi anasema hii ndo mechi yake ya kwanza kwenda uwanjani kushuhudia

Leo nafuturu poa kabisaa roho saafi
Hahaaa. Mie nilishawahi sema Manara tutakuwa tunamkaanga kwa kauli zake.

Leo analo ajitetee sasa tuone.

Hata mie Swahiba nafuturu kwa rakha kabisa.
 
Wanastahili Simba, miaka 7 yote maskini hawalijui kombe
 
Hahaaaa. Ndio hapo Kaka.

Hawajui kwamba mpira hauchezwi mdomoni.
Mpira ni uwanjani na sio mdomoni au kwenye magazeti[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Daah basi nakwambia nimepita Kariakoo mtaa wa msimbazi nauza sukari ya Kagera (Kagera Sugar) kuna watu wamevaa jezi nyekundu zenye michirizi meupe wananikazia sura na kunisonya... sasa mimi kosa langu liko wapi eti...si nafanya biashara, hawataki kuniungisha au??
 
Hahahaha mtani naona leo unapunguza machungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…