Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Ooh sisi wazee wa 4G wazee wa 4G hamtuwezi...mara oooh tunachukua ubingwa bila kufungwa...haya sasa mbwembwe zote leo zimetulizwa taratiiiiiiibuWape wape wapeeeeee. Kakaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh sisi wazee wa 4G wazee wa 4G hamtuwezi...mara oooh tunachukua ubingwa bila kufungwa...haya sasa mbwembwe zote leo zimetulizwa taratiiiiiiibuWape wape wapeeeeee. Kakaaa.
Hahaaaa. Naweza amini aiseee sababi kikosi chao ni cha kawaida kabisa aiseee.Hakuna mechi hawajanunua hao....
Fitna tupuu...
Masaliti mengine yapo huku yanga,yalichukua hela kuvuruga timu..
Hahahaaaa. Hapa anaongelewa Mnyama Mkuu.Yanga naskia wanaongoza
Wasifungwe wao ni Nani..??? Embu wakafie mbali huko naona wanashangilia kombe hapa ila moyoni wanalia...mikeka imechanika tena wakikaa vibaya wataoga maji ya MAJIMAJI[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Hahaaaa. Nawashangaa Ujue.
Wao ndio walisema hawawezi kufungwa Msimu huu.
Uyo manara aliwaaminisha kuwa wanamaliza bila upoteza ndo mana kawa mdogo leoHahaaa. Wanajitahidi kukila ila kinawashinda lol.
Swahiba nimemuona Manara anavyojifariji. Hahaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]*HILI PIA MSILISAHAU*
*SIMBA NDIO TIMU YA KWANZA KUFUNGWA MBELE YA RAIS WA NCHI*
*this is.....*
SIMBA NDIYO TIMU YA KWANZA KUFUNGWA NYUMBANI TANGU MFUNGO WA RAMADHANI UANZE*
*Breaking news*
*Kagera ndiyo timu ya kwanza kumfunga simba mbele ya RAIS WA NCHI (MAGUFULI) MBELE YA RAIS WA DAR (MAKONDA) MBELE YA RAIS WA SIMBA (MANARA) na simba ndiyo timu ya* *kwanza kukosa penalt mbele ya Rais JPM toka* *ameingia ikulu na Dododoma kutangazwa kuwa jiji.[emoji28][emoji28]*
Eti kikosi cha bilioni 1.4 [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Hahaaaa. Naweza amini aiseee sababi kikosi chao ni cha kawaida kabisa aiseee.
Hahaaaa. Ndio hapo Kaka.Wasifungwe wao ni Nani..??? Embu wakafie mbali huko naona wanashangilia kombe hapa ila moyoni wanalia...mikeka imechanika tena wakikaa vibaya wataoga maji ya MAJIMAJI[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Walikuwa wameandaa na tshirt za kutofungwa na timu yoyote itabidi wazitie kiberitiHahaaaa. Nawashangaa Ujue.
Wao ndio walisema hawawezi kufungwa Msimu huu.
Mtani haiumi sana maana tunapoozwa na kombe 😱 😱 😱Sasa bila kumsema mtani unadhani kuna raha?
Hahaaa. Mie nilishawahi sema Manara tutakuwa tunamkaanga kwa kauli zake.Uyo manara aliwaaminisha kuwa wanamaliza bila upoteza ndo mana kawa mdogo leo
Wamewekarecord ya kupoteza mbele ya raisi tena raisi anasema hii ndo mechi yake ya kwanza kwenda uwanjani kushuhudia
Leo nafuturu poa kabisaa roho saafi
Simba poleni....
hahahahahaMwanamume akipigwa kawaida mwanamke hushangilia
Hahahaaa. Ilikuwa mwaka wao tu huu na sababu kuu ni timu yetu kuyumba nje ya hapo wangelisikia na kuliona kwenye magazeti tu kawaida.Eti kikosi cha bilioni 1.4 [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Mpira ni uwanjani na sio mdomoni au kwenye magazeti[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaa. Ndio hapo Kaka.
Hawajui kwamba mpira hauchezwi mdomoni.
Hahahaha mtani naona leo unapunguza machunguWatanzania wote kwa pamoja tuwe wazalendo tupende vya kwetu, Tumia Sukari ya Kagera (Kagera Sugar) kwa Afya nzuri na ulinzi wa mwili
Kagera Sugar ni sukari yenye ubora wa kiwango cha kimataifa, ukitaka kuthibitisha hili waulize Simba FC ni mabalozi wazuri wa sukari hii...
[emoji1][emoji2][emoji16][emoji3][emoji41]