Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaaa. Wakate tu ila ndio hiyo walioiita rekodi imeshachafuka.Nasikia wanataka kukata rufaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa. Wakate tu ila ndio hiyo walioiita rekodi imeshachafuka.Nasikia wanataka kukata rufaa
Hahaaaa. Nakuona Swahiba.Mwezi mtukufu, mwezi wa haki haki lazima itendeke dhuluma ya kupewa magoli ya kupewa mwezi huu haviruhusiwi
Asante sana Kagera
Michezo miwili ya mwisho sio mizuri Barcelona wanajua ilo
Hakuna cha rekodi wala cha remix hapa....Kwisha habari yao...nyang'anyang'a [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Hahahaaaa. Wakate tu ila ndio hiyo walioiita rekodi imeshachafuka.
Sasa bila kumsema mtani unadhani kuna raha?Hahahaha mmepata pakuongelea
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] ohoooMkuu lile dudu washa ni bonge la ndonga biti amekubali yaishe tu ![emoji23]
Sitakiiiiii niache
Hahaaa. Sitaki mie jamaani. KhaaaaHahahahaa waliambiwa watapata tabu sana hawakusikia
Doctor uko na nini
Yaani zaidi ya Nyang'anyang'a aiseeee.Hakuna cha rekodi wala cha remix hapa....Kwisha habari yao...nyang'anyang'a [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Ha ha ha haaaaaaaaaa Yeuuuuuuuuwi mbafu sangu mieinakera sana!
simba badala ya kuweka record ya kutokufungwa hadi mwisho, Leo karuhusu bao kufungwa NA kagera sugar!
Wameharibu raha yooote! bora wangefungwa tangu mwanzo tukajua moja; walichokifanya Leo hakika ni sawa NA kutunza bikira usichana wooote halafu unabakwa siku ya kwenda kufunga ndoa; hata ndoa yenyewe haina radha tena! simba mmezinguaaaaaaa!!!!!!!
Dalili zinaonesha leo tutakula mboga bila chumvi!Sitakiiiiii niache