Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Magu anawachanaaaa

Aki ya mungu huyu mzee siyo
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
inakera sana!
simba badala ya kuweka record ya kutokufungwa hadi mwisho, Leo karuhusu bao kufungwa NA kagera sugar!
Wameharibu raha yooote! bora wangefungwa tangu mwanzo tukajua moja; walichokifanya Leo hakika ni sawa NA kutunza bikira usichana wooote halafu unabakwa siku ya kwenda kufunga ndoa; hata ndoa yenyewe haina radha tena! simba mmezinguaaaaaaa!!!!!!!
Ha ha ha haaaaaaaaaa Yeuuuuuuuuwi mbafu sangu mie
 
Back
Top Bottom