Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bikra inavunjwa au INATOBOLEWA?Hatimaye bikra leo imevunjwa !
Hahaaa. Hazina kazi tena aiseeee.Walikuwa wameandaa na tshirt za kutofungwa na timu yoyote itabidi wazitie kiberiti
Hahaaa. Mie nilishawahi sema Manara tutakuwa tunamkaanga kwa kauli zake.
Leo analo ajitetee sasa tuone.
Hata mie Swahiba nafuturu kwa rakha kabisa.
Yeah ni kweli kabisa usemavyo dada wangeisoma namba... Halafu ni bonge la aibu kufungwa mbele ya mkuu wa nchi huku mkiwa na shauku ya kubeba kombeHahahaaa. Ilikuwa mwaka wao tu huu na sababu kuu ni timu yetu kuyumba nje ya hapo wangelisikia na kuliona kwenye magazeti tu kawaida.
Kabisaaa namwaga Sumu leo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahahaha mtani naona leo unapunguza machungu
Hahaaaa. Lol.Mpira ni uwanjani na sio mdomoni au kwenye magazeti[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daah basi nakwambia nimepita Kariakoo mtaa wa msimbazi nauza sukari ya Kagera (Kagera Sugar) kuna watu wamevaa jezi nyekundu zenye michirizi meupe wananikazia sura na kunisonya... sasa mimi kosa langu liko wapi eti...si nafanya biashara, hawataki kuniungisha au??
Najaribu kusawazisha, vijana kwa kweli wameniboa. Yaani hata yanga ikifungwa sioni mwanya wa kuwatania.Hahaaa. Nimecheka sana Mtani sababu sio kwa kuchomekea huko. Lol
Tutaamini hivyo game ikiisha Mtani.
Nasikia kipindi cha Rais Mwinyi waliagiza kontena la kanga zimeandikwa Simba Bingwa Africa zikaishia kupigiwa dekiHahaaa. Hazina kazi tena aiseeee.
Ila hawajifunzi. Barcelona tu juzi na yeye amekula kichapo sasa sijui wao jeuri waliitoa wapi?
Huwa anaongea kwa kumaliza hajui kwamba hakuna anayeijua kesho.Haji hana la kujitetea leo maana kauli zake zimemponza
Kwani akiongelea hapa ni mbaya 🙁 🙁Tunaongelea ya Simba hapa sio Yanga mkuu
Kwa kweli, kwa kiwango hiki hata yanga wangetufunga.Tumeonyesha kiwango kibovu sana Leo.
Kiukweli tubadilike
Yaani ni zaidi ya aibu aiseeee.Yeah ni kweli kabisa usemavyo dada wangeisoma namba... Halafu ni bonge la aibu kufungwa mbele ya mkuu wa nchi huku mkiwa na shauku ya kubeba kombe
Hahahaa pole yakeHuwa anaongea kwa kumaliza hajui kwamba hakuna anayeijua kesho.
Pole yake.