Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

Hahahaaa. Ilikuwa mwaka wao tu huu na sababu kuu ni timu yetu kuyumba nje ya hapo wangelisikia na kuliona kwenye magazeti tu kawaida.
Yeah ni kweli kabisa usemavyo dada wangeisoma namba... Halafu ni bonge la aibu kufungwa mbele ya mkuu wa nchi huku mkiwa na shauku ya kubeba kombe
 
Nilisema humu ndani, Simba iache siasa kwenye michezo na nikatahadharisha kabisa..Hao watu wanaoshirikiana nao hawana chembe ya uanamichezo na ni wapenda sifa tu.kilichowapata leo nimefurahi sana japo mimi ni mshabiki wa Simba
 
Mpira ni uwanjani na sio mdomoni au kwenye magazeti[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Daah basi nakwambia nimepita Kariakoo mtaa wa msimbazi nauza sukari ya Kagera (Kagera Sugar) kuna watu wamevaa jezi nyekundu zenye michirizi meupe wananikazia sura na kunisonya... sasa mimi kosa langu liko wapi eti...si nafanya biashara, hawataki kuniungisha au??
Hahaaaa. Lol.

Pole yao.
 
Simba ni sawa na Binti aliyeitunza Bikra yake kwa muda mrefu lakini Siku ya harusi anabakwa na kichaa kabla ya harusi yake.

Poleni sana wana Simba.
 
Hahaaa. Nimecheka sana Mtani sababu sio kwa kuchomekea huko. Lol

Tutaamini hivyo game ikiisha Mtani.
Najaribu kusawazisha, vijana kwa kweli wameniboa. Yaani hata yanga ikifungwa sioni mwanya wa kuwatania.
 
Hahaaa. Hazina kazi tena aiseeee.

Ila hawajifunzi. Barcelona tu juzi na yeye amekula kichapo sasa sijui wao jeuri waliitoa wapi?
Nasikia kipindi cha Rais Mwinyi waliagiza kontena la kanga zimeandikwa Simba Bingwa Africa zikaishia kupigiwa deki
 
Back
Top Bottom