Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

Jamani hamna no za TBC muwaambie waache kutangaza huu mpira wabaki kuonesha tu.
Wanakera hawa wachambuzi
 
Nafasi zinapotea za wazi hawa watangazaji kwanini game za FIFA hizi hatuiti wachezaji majina Yao tunamuita mchezaji Adebayor wakati jina lake John Bocco hapo hapo anauliza mchezaji wa Stars anavaa number 8 anaitwa Nani? Umepataje kazi au unavyoanza kutangaza hauna majina? Tbc amkeni.
 
Sawa mi kenge una jingine unataka kuongezea? Have a gud day Mr. Akili Nyingi
Ndugu Mkumbushe huyo kenge south Africa sports boycott ambayo ilizui timu Afrika kusini kuhudhiria mashindano ya kimataifa. Siasa mfumo wa maisha.
 
Hata hivyo jamani leo vijana wamecheza vizuri sana tofauti na zile boko walizokuwa wanatoa enzi za yule babu wa kizungu.
Makocha wa kizalendo wako vizuri....

Tunafanya vizuri sana.
 
Tukitoa draw Jamal Malinzi atarudi JF kusifia uongozi wake kwamba unafanya mambo mazuri kulazimisha draw Vs Nigeria. Wabongo huwa tunaridhika na madogo tuyapatayo zaidi ya ku-aspire kwa makubwa na mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…