chagga land
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 394
- 95
- Thread starter
- #201
ngasa katoka kaingia boko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa Nigeria watanichania mkeka wangu. Mpaka sasa hawajapata goal! Afu niliwapa cap.
Hivi Kipre tcheche hayupo sub?
Ndugu Mkumbushe huyo kenge south Africa sports boycott ambayo ilizui timu Afrika kusini kuhudhiria mashindano ya kimataifa. Siasa mfumo wa maisha.Sawa mi kenge una jingine unataka kuongezea? Have a gud day Mr. Akili Nyingi
Hivi huyu mchezaji wa taifa stars jezi namba 9 ni nani?
Duh Kipre Tcheche?Kwan Huyo Ni Mtz Au Mnigeria.?
Matokeo jamani
Hata hivyo jamani leo vijana wamecheza vizuri sana tofauti na zile boko walizokuwa wanatoa enzi za yule babu wa kizungu.
Makocha wa kizalendo wako vizuri....