Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

Hiki kikosi cha Nigeria kweli sio cha Nollywood movie? Hawachezi vizuri na Taifa Stars ndio inacheza sana tusije kuchoka tu tushakosa jengine ngasaaa.
 
Ukawa tukiingia madarakani kila kitu kuntu. Siasa hazitaingizwa kwenye technical issues!
 
kuna radio inatangaza january makamba amewataka tff kufungua milango washabiki waingie gharama atalipa yeye

Kuna Ka Ukwel? Hebu Taja Kituo Hcho Cha Redio Mkuu Labda Kama Tff Wenyew Waamue Kwanza N Wapuuz Hii Mech Kiinglio Kikubwa Hawajaonesh Uzalendo
 
Ukawa tukiingia madarakani kila kitu kuntu. Siasa hazitaingizwa kwenye technical issues!

Mmetengewa kule kuna Jukwaa la Katiba, Jukwaa la siasa na Jukwaa la Uchaguzi mkuu. Hizi habari zako peleka huko usituletee uwendawazimu humu
 
Kuna Ka Ukwel? Hebu Taja Kituo Hcho Cha Redio Mkuu Labda Kama Tff Wenyew Waamue Kwanza N Wapuuz Hii Mech Kiinglio Kikubwa Hawajaonesh Uzalendo
e fm hata tbc radio nao wametangaza hivyohivyo.
 
Tumekoswa koswa hapa mistake ya defence imepigwa kona haijazaa matunda.
 
Ngassa leo haijulikani yupo namba ngapi anazunguka uwanja mzima. Nigeria style yao ya mipira mirefu itawacost sana.

Kwa muda huu tumekuwa tunapoteza mipira kizembe sana itatuharibia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…