Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ndio ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa soka duniani kote kuja kushuhudia manguli wa soka duniani kutoka Tanzania wakiongozwa na kocha wa makocha Charles Boniface Mkwasa master wakichuana na kikosi cha Nigeria kikiongozwa na kocha aliyezoea kufungwa Sande Olise.
Mtanange huu utavurumishwa kutoka dimba la Taifa na huku mchezo ukitarajiwa kuanza majira ya saa kumi na nusu jioni kwa majira ya Afrika Mashariki. Kama kusipokuwa na figisufigisu mechi itarushwa na AZAM TV na mimi pamoja na timu yangu tutakuletea moja kwa moja kutoka taifa kupitia tovuti inayoongoza Afrika mashariki na kati kwa kuwa na followers wengi, JamiiForum.
Stay online
=======
View attachment 283920
kuna radio inatangaza january makamba amewataka tff kufungua milango washabiki waingie gharama atalipa yeye
Ukawa tukiingia madarakani kila kitu kuntu. Siasa hazitaingizwa kwenye technical issues!
32' Mins | Tanzania 0 Nigeria 0
e fm hata tbc radio nao wametangaza hivyohivyo.Kuna Ka Ukwel? Hebu Taja Kituo Hcho Cha Redio Mkuu Labda Kama Tff Wenyew Waamue Kwanza N Wapuuz Hii Mech Kiinglio Kikubwa Hawajaonesh Uzalendo
Nigeria wanafanya mabadiliko
Dakika ya ngapi???
mungu wangu!! maombi yanahitajika