Tbc wanaonyesha waliopo nje wanaweza kutizama kwa simu . TV LiveTBC1 wanachambua so huenda wakairusha
Tusipofungwa najitoahumu
e fm hata tbc radio nao wametangaza hivyohivyo.
Nina imani tunashinda...Rais wetu anayesubiri kuapishwa Mheshimiwa Edward Lowassa ameishaiombea mema nasi twaamini tunashinda
Hata Mie ndio navyoona hapa mafundi wetu wanaweza na kachagua wachezaji kwa kuwajua vizuri sio kwa upendeleo Kama Haji Mwinyi mchezaji katulia ila Taifa Stars Leo Haji Mwinyi,Ngassa na Ulimwengu wapo makini Samatta bado hajaamka Sema Ngassa tatizo lake akifika Mbele hafikirii wenzake.Hata hivyo jamani leo vijana wamecheza vizuri sana tofauti na zile boko walizokuwa wanatoa enzi za yule babu wa kizungu.
Makocha wa kizalendo wako vizuri....
Hahahaaaaa kama nakuona vile roho inavyokuuma kwa kuona utabiri wangu unaelekea kutimia.
#UtanikubaliTu....
Hata hivyo jamani leo vijana wamecheza vizuri sana tofauti na zile boko walizokuwa wanatoa enzi za yule babu wa kizungu.
Makocha wa kizalendo wako vizuri....