Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

Kuna jukwaa la Siasa humu ni Michezo tu...hata hilo nalo tuwafundishe?
 
Hata hivyo jamani leo vijana wamecheza vizuri sana tofauti na zile boko walizokuwa wanatoa enzi za yule babu wa kizungu.
Makocha wa kizalendo wako vizuri....
Hata Mie ndio navyoona hapa mafundi wetu wanaweza na kachagua wachezaji kwa kuwajua vizuri sio kwa upendeleo Kama Haji Mwinyi mchezaji katulia ila Taifa Stars Leo Haji Mwinyi,Ngassa na Ulimwengu wapo makini Samatta bado hajaamka Sema Ngassa tatizo lake akifika Mbele hafikirii wenzake.
 
Hata hivyo jamani leo vijana wamecheza vizuri sana tofauti na zile boko walizokuwa wanatoa enzi za yule babu wa kizungu.
Makocha wa kizalendo wako vizuri....

Acha unazi mechi mbovu hii
 
Back
Top Bottom