HahhahahhahaDada! Nkajua Shem kaja. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yan tutakosa kula[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Taabu tutakayopata leo sipati picha maana watani hawa wanakeleleee, wana manenooo. Sevilla God is watching you.
Tutashindaaaaaa siye umeona eeehhhh!!!Hata kikiwa Z watajijua wenyewe,
Tunawatandika kama mburukenge
Hahahaha pacha hata ingekuwa kikosi Z haiondoi wao kuitwa Sevilla,tunachojua tunacheza na Sevilla tu!!!Kikosi D mkuu.
Acha mkwara mbuzi Nataka nikukojolee na ww Leo sio unawapa hao wazungu uchwara wenu kila sikuOya, fuata mambo yako.
Bora liende. πAwa jmaa wanajichezea tu
Duuh...! Hawa wachezaji wa sevila wana vitambi kabisa. Ni sevila veteran ama ni vipi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakati wachezaji wa Sevilla wanacheza kujifurahisha wachezaji wa mikia wamekaza utafikiri wanagombea kombe la dunia!
Pachaa [emoji23][emoji23][emoji23]kikosi Z.Hahahaha pacha hata ingekuwa kikosi Z haiondoi wao kuitwa Sevilla,tunachojua tunacheza na Sevilla tu!!!
Hahaha mtani acha wivu basi mbona nanyi mlifanya maajabu ya UEFA kwa Barca mpka tukashangaa!!!This is a joke aisee! [emoji16][emoji16][emoji16] yaani Simba wameshawafunga Sevilla 3-1. Maajabu mengine haya.
Yan kma wameambwa wanapewa ugari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mimi nimeangalia kupitia hiyo link ya cricfreeMkuu bado unaangalia kwa hiyo ya kwanza. Mi inakataa.
Dah nimecheka sanaDuuuh!miuno ya kibantu effects.Kama naziona.πππππππ
Mtani dkk 45 nyingi eti mwaeza ongezwa ka hayo mliyofunga. Tusubiri.Ungeandika hii halftime.
Hawa washakufa.
Ulifanikiwa?Nami sion kitu kwakweli..nakuta kumeandikwa CLOSE