Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Nasikia ni vijana waliopo kwenye zile Academy zao[emoji23][emoji23]wangekuja wachezaji mngekoma (utani)
Tar 1 june tunaomba uwepo kwenye jukwaa la Liverpool hahahahahahahahah
 
Half time hapa kicha wa sevilla anaomba mechi nyingine hii ikiisha
 
Kesho Asubuhi Simba Itatembea Kifua Mbele
Maeneo Ya Ikulu Na Bungeni
Kuwapa Salaam Viongozi Mbalimbali
 
Na wamenasa vizuri, Tangu nilivyoona wanafurahia mauno nikajua kwisha habari yao.
Badala ya kufanya mazoezi wanalala tuu wakiagiza wale wadada wakawakatie mauno [emoji475][emoji475][emoji475]
Uwiii kwahiyo wanawaza mauno ya jana ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hawa jamaa walivyojua wanacheza na Mabodaboda naona wameamua kurelax
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu uko pande zipi[emoji23][emoji23][emoji23]you mean BODA BODA
 
Wakuu naomba tuweke sawa, kuna wanaosema hiki kikosi cha Sevilla Ni kikosi C, wengine wanasema ni kikosi D,
Naomba kikosi A kuna kina nani?
Hivi Navas ni kikosi C? hata B hayupo ni A pure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…