Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Hahahaha tulikuwa tunadumisha mila ile siri tuliyofundishwa na mama,mchawi kiuno!!!!!!! Embu jaribu nawe kwa baba naniliu uone mambo yatakavyokunyookea!!!!!
Siyo vizuri Pacha,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hivi ni dakk ya ngapi?
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Taabu tutakayopata leo sipati picha maana watani hawa wanakeleleee, wana manenooo. Sevilla God is watching you.
Kwani unateseka best!!! Hahaha nakusalimu tu habari za masiku mingi?
 
Back
Top Bottom