Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka lol.Jikaze mtaanii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nimecheka sana comments za humuNdiyo maana yake[emoji23][emoji23].
Wabongo ni nyooooooko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani yanfa sasa!Yanga ombeni friend match na LIPULI tuone.
Ahahahahaha nitakua Yanga kuwaongezea moraliHaitakaa itokee. Yaani ni kama wewe tu Mtani utakavyoombea Azam anifunge game ya mwisho.
Au utakuwa Yanga?
Aliowashauri hawa sevilla washuke airport ya dar nani. Wangeshuka songwe kama mazembe. Mtawaonea huruma aisee
Kama kweli vile.Ahahahahaha nitakua Yanga kuwaongezea morali
Nimecheka lol.
Ila nasubiri 90Mins ndio zitaongea.
Hahahahahha nasubiria, na mimi nikupe vitu walivyologwa navyo sevilla
Wakuu naomba tuweke sawa, kuna wanaosema hiki kikosi cha Sevilla Ni kikosi C, wengine wanasema ni kikosi D,
Naomba kikosi A kuna kina nani?
Hivi Navas ni kikosi C? hata B hayupo ni A pure.
Yaani Mbovu Kuliko AibuPicha zake pia hazina ubora.
Hahahha tukanaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haters wao ni kuhate tuuu kila kitu!!!!!Wouzeeer wouzeerr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]haters watasema na sevilla tumewahonga
Kwetu tumewalaaaView attachment 1105826
Hiyo ilikuwa 23/01/2019 copa del rey vs Barcelona
Vipi? Unatutisha!! Kimetokea nini mbona husemi??Tooooobaaaa
Tumalizie tu Dkk 45 kwani hatuna jinsi.Yaani Mbovu Kuliko Aibu
Yaani Ilibidi Game Hii Wapewe Azam Kuionyesha Halafu TBC
Ndiyo Wachukue Kule
Aibu Gani
Ndio utani jamaani. Msichukie.😀😀Haters wao ni kuhate tuuu kila kitu!!!!!
Kila tukishinda tumehongaa