Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Bora Usikilize RadioSafari tv iko king'amuzi cha azam?
Hiyo Safari Television Aibu Sana
Yaani Hakuna Mtangazaji Ni Kimya Kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora Usikilize RadioSafari tv iko king'amuzi cha azam?
Dkk 20 za kwanza ndio ilikuwa komesha Mkuu.SIMBA 47 $EVILLA 53
Jaribu hata kuomba mema MkuuAcha tu Mkuu. Hapa nimenuna mbaya.
Yaani mi nawaombea njaa tu kila siku. 😂😂😂
Nadhani ni Stand united ya shinyanga mkuuBado siamini kama hii ni Sevilla ya kule Spain!
Umeona eeehhh!!!Hahahaha pacha hata ingekuwa kikosi Z haiondoi wao kuitwa Sevilla,tunachojua tunacheza na Sevilla tu!!!
AtarWamekomaza viuno hatari wenzao wame relax wanasubiri kwenda Serengeti kwa mapumziko
Picha zake pia hazina ubora.Bora Usikilize Radio
Hiyo Safari Television Aibu Sana
Yaani Hakuna Mtangazaji Ni Kimya Kimya
Siyo vizuri Pacha,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hahahaha tulikuwa tunadumisha mila ile siri tuliyofundishwa na mama,mchawi kiuno!!!!!!! Embu jaribu nawe kwa baba naniliu uone mambo yatakavyokunyookea!!!!!
Babe hongera[emoji23][emoji23][emoji23].
Kwani unateseka best!!! Hahaha nakusalimu tu habari za masiku mingi?[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Taabu tutakayopata leo sipati picha maana watani hawa wanakeleleee, wana manenooo. Sevilla God is watching you.
Au ndugu zake UchebeNadhani ni Stand united ya shinyanga mkuu
Simba wanajisifu ila kiuarisia hawako mwake kama wanavojionaWamekomaza viuno hatari wenzao wame relax wanasubiri kwenda Serengeti kwa mapumziko
Jikaze mtaanii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Acha tu Mkuu. Hapa nimenuna mbaya.
Yaani mi nawaombea njaa tu kila siku. [emoji23][emoji23][emoji23]
Coastal unionBado siamini kama hii ni Sevilla ya kule Spain!
Haitakaa itokee. Yaani ni kama wewe tu Mtani utakavyoombea Azam anifunge game ya mwisho.Jaribu hata kuomba mema Mkuu
Sio Sevilla ni waokota mipira wa Sevilla
Hahahahahha nasubiria, na mimi nikupe vitu walivyologwa navyo sevillaLeo nitakupa mabusu motomoto