Kweli πππHaina umuhimu ndiyo maana inaonyeshwa huko!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hamna mkuu, nahisi hao ni wachezaji wa field[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa umeona mbali sana. 3 kwa 2 tayari.nadhani simba wanaweza fungwa hii mechi.
Uchawi huu sasa umefurahiii!!!!3-2 Nalito anaongeza kwa upande wa Sevilla.
Hii hamjahonga, mmetumia kimbola za asili.
Ni wivu tuSimba wanajisifu ila kiuarisia hawako mwake kama wanavojiona
Ndiyo hivyo kijiwe cha kupotezea muda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli [emoji23][emoji16][emoji3]
Hata mkishinda haisaidiiHaitakaa itokee. Yaani ni kama wewe tu Mtani utakavyoombea Azam anifunge game ya mwisho.
Au utakuwa Yanga?
Sina timu hapo. Wala mimi c wale wa green network.Uchawi huu sasa umefurahiii!!!!
Ubao unasomekaje Mtani huko? ππNi wivu tu
Nimeamini πππNdiyo hivyo kijiwe cha kupotezea muda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh! Leo mtaniua kwa kicheko asee.
3:2Ubao unasomekaje Mtani huko? [emoji41][emoji41]
Najua. Ila tukifungwa nyie nyie mtatusema.Hata mkishinda haisaidii
Goli la pili hukoNimeamini [emoji16][emoji3][emoji3]
Wakaanga sumu tumeshakubaliana wale siyo Sevilla.Bakuli fc nifanye nini huko, mi mwekundu wa msimbazi mwenye kadi yake