everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
Ila utakuwa una element hizo siyo kwa kusaga sumu huku!! Hahahaha nakusubiri UEFA!!!Sina timu hapo. Wala mimi c wale wa green network.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila utakuwa una element hizo siyo kwa kusaga sumu huku!! Hahahaha nakusubiri UEFA!!!Sina timu hapo. Wala mimi c wale wa green network.
Oukeeey!
Leo kulikoni hadi saa hizi umeachiwa simNajua. Ila tukifungwa nyie nyie mtatusema.
Tushinde tu Mtani hata kama tunabaki hapa hapa jf. [emoji3][emoji3]
Poa. Kule ndo kwangu c huku timu haishindi mpaka iloge.Ila utakuwa una element hizo siyo kwa kusaga sumu huku!! Hahahaha nakusubiri UEFA!!!
Watakuwa wameanza kufamya substitute za wachezaji wa kikosi B baada ya kuona D hakifanyi vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uchawi huu sasa umefurahiii!!!!
NgP ngapNajua. Ila tukifungwa nyie nyie mtatusema.
Tushinde tu Mtani hata kama tunabaki hapa hapa jf. [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona unasaidia kukata mauno Sevilla washinde!!! Hahahaha!! Embu kuwa mzalendo basi
Niko jikoni napika daku Mtani. 😀😀Leo kulikoni hadi saa hizi umeachiwa sim
Naona Wazungu WamecharukaGoli la pili huko
Naona unasaidia kukata mauno Sevilla washinde!!! Hahahaha!! Embu kuwa mzalendo basi
3 - 2NgP ngap
Shabiki wa kweri wa simba!!!! Unakunywa kinywaji gan mkuuIla bwana tuacheni utani, wenzetu wanajua kutuliza mpira, hata shuti bahati mbaya mtu akikutana nalo linanata kwenye mguu
Hahahaha!!! Tutaleta mvua sasahivi hahahaha!!!!Watakuwa wameanza kufamya substitute za wachezaji wa kikosi B baada ya kuona D hakifanyi vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]pika daku wewe hayaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji48]3 - 2
[emoji3]ngoja uunguzeNiko jikoni napika daku Mtani. [emoji3][emoji3]
Mimi sidhani kama sevilla wamefungwa magoli 3 sababu ya kikosi C, A, au B' bali kwasababu Sevilla akili yao ime relax, hakuna anachoshindania tofauti na Simba ambapo wachezaji wanajituma kuonesha kitu mbele ya washabiki na ulimwengu kwa ujumla. Sevilla hawana cha kwa kuaminisha washabiki wa mpira wa miguu kwa kuamini kuwa wao ni baba tu kwa simba kwa hali yoyote ile. Tofauti na Simba ambapo wachezaji wanayo kila sababu ya kujitangaza ili kujiuza.Wakuu naomba tuweke sawa, kuna wanaosema hiki kikosi cha Sevilla Ni kikosi C, wengine wanasema ni kikosi D,
Naomba kikosi A kuna kina nani?
Hivi Navas ni kikosi C? hata B hayupo ni A pure.