Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Ila bwana tuacheni utani, wenzetu wanajua kutuliza mpira, hata shuti bahati mbaya mtu akikutana nalo linanata kwenye mguu
Shabiki wa kweri wa simba!!!! Unakunywa kinywaji gan mkuu

Wenzako ukiwaambia hiv wanakuangalia kama wanalia[emoji23][emoji23]
 
Wakuu naomba tuweke sawa, kuna wanaosema hiki kikosi cha Sevilla Ni kikosi C, wengine wanasema ni kikosi D,
Naomba kikosi A kuna kina nani?
Hivi Navas ni kikosi C? hata B hayupo ni A pure.
Mimi sidhani kama sevilla wamefungwa magoli 3 sababu ya kikosi C, A, au B' bali kwasababu Sevilla akili yao ime relax, hakuna anachoshindania tofauti na Simba ambapo wachezaji wanajituma kuonesha kitu mbele ya washabiki na ulimwengu kwa ujumla. Sevilla hawana cha kwa kuaminisha washabiki wa mpira wa miguu kwa kuamini kuwa wao ni baba tu kwa simba kwa hali yoyote ile. Tofauti na Simba ambapo wachezaji wanayo kila sababu ya kujitangaza ili kujiuza.
 
Back
Top Bottom