Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
NNE dadaaaaa...[emoji6][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
Tushawazoea hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tushawazoea hao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha!!! Tutaleta mvua sasahivi hahahaha!!!!
Mimi sidhani kama sevilla wamefungwa magoli 3 sababu ya kikosi C, A, au B' bali kwasababu Sevilla akili yao ime relax, hakuna anachoshindania tofauti na Simba ambapo wachezaji wanajituma kuonesha kitu mbele ya washabiki na ulimwengu kwa ujumla. Sevilla hawana cha kwa kuaminisha washabiki wa mpira wa miguu kwa kuamini kuwa wao ni baba tu kwa simba kwa hali yoyote ile. Tofauti na Simba ambapo wachezaji wanayo kila sababu ya kujitangaza ili kujiuza.
Hahahaaaaaaaaa!!!nachekaa kwa dharauuuuuu!!fireeeeeWoyooooooo
Woyoooooooo [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hahahaha mara moja moja nipo !!!Yaani best acha tu.
Habari za masiku njema kabisa mama. Ukapoteaaaaa alafu umetokea leo kutusimanga[emoji134][emoji134][emoji134]
Naona unafurahi tu jirani[emoji23][emoji23]Woyoooooooo [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Woyooooooo
Umemisika mama, usiwe unapotea hivyo jamani.Hahahaha mara moja moja nipo !!!
Kwani mazoezi yanataka aibu?Wenzao wapo mazoezini baada ya kumaliza ligi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi nawe ni simba?Daaahhh Simba acheni roho mbaya.
Kwani hamjafunzwa kukarimu wageni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo nini kumnyanyasa mgeni kiasi hichi?
Haha haha hebu kunywa soda hapo nakuja kulipiaHahahaaaaaaaaa!!!nachekaa kwa dharauuuuuu!!fireeeee