HahahahhahaAcha kabisa Dada. Wajua tena nishakunywa maji ya bendera ya Timu ya Wananchi.
😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23]pika daku wewe hayaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji48]
Mpira hauna uchawi hujui hujui tu!!Poa. Kule ndo kwangu c huku timu haishindi mpaka iloge.
Daah! Ntarudi kesho Mtani maana isije ikawa kweli bure.[emoji3]ngoja uunguze
Haiwezekani sura ni ya Nolito na mwili ni wa baunsa.Wale sio seville ni mabaunsa waangalie vizuri shingoni embu wameeditiwa tu.
Ni wivu tu
[emoji23][emoji23]Daah! Ntarudi kesho Mtani maana isije ikawa kweli bure.
Usiku mwema.
Yaani best acha tu.Kwani unateseka best!!! Hahaha nakusalimu tu habari za masiku mingi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pacha tatizo hamjui mnavyocheza na Sevilla lakini madongo mnatupiga sisi wana Yanga.Naona unasaidia kukata mauno Sevilla washinde!!! Hahahaha!! Embu kuwa mzalendo basi
Shabiki wa kweri wa simba!!!! Unakunywa kinywaji gan mkuu
Wenzako ukiwaambia hiv wanakuangalia kama wanalia[emoji23][emoji23]
Tushawazoea haoHaters wao ni kuhate tuuu kila kitu!!!!!
Kila tukishinda tumehongaa
Acha kabisa Dada. Wajua tena nishakunywa maji ya bendera ya Timu ya Wananchi.
Ni wivu tu.Mimi sidhani kama sevilla wamefungwa magoli 3 sababu ya kikosi C, A, au B' bali kwasababu Sevilla akili yao ime relax, hakuna anachoshindania tofauti na Simba ambapo wachezaji wanajituma kuonesha kitu mbele ya washabiki na ulimwengu kwa ujumla. Sevilla hawana cha kwa kuaminisha washabiki wa mpira wa miguu kwa kuamini kuwa wao ni baba tu kwa simba kwa hali yoyote ile. Tofauti na Simba ambapo wachezaji wanayo kila sababu ya kujitangaza ili kujiuza.
kama ww unavyojiuza hapa..Mimi sidhani kama sevilla wamefungwa magoli 3 sababu ya kikosi C, A, au B' bali kwasababu Sevilla akili yao ime relax, hakuna anachoshindania tofauti na Simba ambapo wachezaji wanajituma kuonesha kitu mbele ya washabiki na ulimwengu kwa ujumla. Sevilla hawana cha kwa kuaminisha washabiki wa mpira wa miguu kwa kuamini kuwa wao ni baba tu kwa simba kwa hali yoyote ile. Tofauti na Simba ambapo wachezaji wanayo kila sababu ya kujitangaza ili kujiuza.