The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Wanga hawakosekanMimi sidhani kama sevilla wamefungwa magoli 3 sababu ya kikosi C, A, au B' bali kwasababu Sevilla akili yao ime relax, hakuna anachoshindania tofauti na Simba ambapo wachezaji wanajituma kuonesha kitu mbele ya washabiki na ulimwengu kwa ujumla. Sevilla hawana cha kwa kuaminisha washabiki wa mpira wa miguu kwa kuamini kuwa wao ni baba tu kwa simba kwa hali yoyote ile. Tofauti na Simba ambapo wachezaji wanayo kila sababu ya kujitangaza ili kujiuza.
Tungefungwa wangesema hatuwaweziHakuna anayefurahia kufungwa hiyo ni mawazo ya kipuuzi
Hahahaha!! Sisi hatuna tatizo,nyie ndo mnaanza mara kikozi Z,Mara waokota mpira n.k[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pacha tatizo hamjui mnavyocheza na Sevilla lakini madongo mnatupiga sisi wana Yanga.
Kikosi Cha Simba Leo
View attachment 1105722
Sijafanikiwa mkuu cjui nakwama wapiUlifanikiwa?
Na huo ndo ukwerii yan hawaangaikiWanga hawakosekan
Achana na hayo....angalia matokeoMara nyingi hamtuwekei lines up ya timu pinzani kwa nini?
Tungefungwa wangesema hatuwawezi
Mimi YangaHivi nawe ni simba?
Mimi sidhani kama sevilla wamefungwa magoli 3 sababu ya kikosi C, A, au B' bali kwasababu Sevilla akili yao ime relax, hakuna anachoshindania tofauti na Simba ambapo wachezaji wanajituma kuonesha kitu mbele ya washabiki na ulimwengu kwa ujumla. Sevilla hawana cha kwa kuaminisha washabiki wa mpira wa miguu kwa kuamini kuwa wao ni baba tu kwa simba kwa hali yoyote ile. Tofauti na Simba ambapo wachezaji wanayo kila sababu ya kujitangaza ili kujiuza.
Wewe umekuaje tena!!![emoji3][emoji16]Yaani best acha tu.
Habari za masiku njema kabisa mama. Ukapoteaaaaa alafu umetokea leo kutusimanga[emoji134][emoji134][emoji134]
Ng'wabheja sanaaaaa....bhageshiiiDakika ya 65,
Simba 4-2 Sevilla
Mpira wanaocheza Simba ni wa Ulaya kaaaaabisa, Sevilla walipofunga goli la pili ni kama kipofu ameuza redio na kununua TV maana Simba kaongeza LA NNE.
Simba hoyeeeeeeee!