Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Hii ni historia, je wangecheza Yanga?
Hakunaaa!!! Ndy mana naona sasa ni muda wa Atltco madrid na wao kuja taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakunaaa!!! Ndy mana naona sasa ni muda wa Atltco madrid na wao kuja taifa
Yanga ni 15 saiv wangeshapigwaHii ni historia, je wangecheza Yanga?
Naona zahera akivuta chozi huku akisema simba wamebebwa
Namm naangalia hapa hakuna mchambuz ni kimya kimya ni kusikiliza kelele za mashabiki aisee sijui ndio style gan hii leonpo safaritv hapa naona wanyama tu hamna hata uchambuzi
Write your reply...
Mbao aina gani mninga au mkurungu?Hawa Watalii hata wakicheza na Mbao wanafungwa
Hahahaha nipogo mbona na huku japo si sana!!Naona United baada ya kukusononesha sana umekuja kupata faraja huku msimbazi[emoji16][emoji16]
Iliyowafunga bodaboda fc KirumbaMbao aina gani mninga au mkurungu?
Mtapata tabu sanaHawa Watalii hata wakicheza na Mbao wanafungwa
Vipi Tp mazembe, Waydad Casablanca, Esperance de Tunis, na Mamelod Sundowns mmeshamalizana nao? Embu jitahidi mmalizane nao ili level za hao uliowataja mkakutane nao FIFA Club World Cup na sio humu kwenye mabonanzaTunawataka Atletco Madrid sasa!!
Baada ya hapo ni Real Madrid...waleeeeee Barcelona nao
WakokayaaaNg'wabheja sanaaaaa....bhageshiii
Hawa Watalii hata wakicheza na Mbao wanafungwa
Hahhahha acha basi jirani kunitamanishaHahaha huu mpira unafaa zaidi ukiwa unaangalia pembeni kukiwa na kabucket ka Heineken baridiiiiii!!!
4:2Matokeo yapoje mpaka sasa na ni dakika ya ngapi ?
Spain 2 - 4 TanzaniaMatokeo yapoje mpaka sasa na ni dakika ya ngapi ?
Iliyowafunga bodaboda fc Kirumba