Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Hahaha jirani nafikiria tu kwa mechi kama hzi zisizo na stress zinahitaji msaidizi...

Pata picha basi nyama choma lainiiiii na Heineken kadhaa baridiiiiii!!!!
Hahhahha acha basi jirani kunitamanisha
 
Vipi Tp mazembe, Waydad Casablanca, Esperance de Tunis, na Mamelod Sundowns mmeshamalizana nao? Embu jitahidi mmalizane nao ili level za hao uliowataja mkakutane nao FIFA Club World Cup na sio humu kwenye mabonanza
Utakuja anguka kwa presha mchana kweupe...shaur yako
 
Back
Top Bottom