Umeonaeee. Ngoma gani best zinachezwa kwa kulazimisha wachezaji wa Sevilla waingie kati kama sio kuwavuruga. πππππππππ
Kweli best ilikuwa kuwavuruga jamaa
IpoSafari tv iko king'amuzi cha azam?
Katibu uone pasi nyingi na ufundi hakuna butua butuaUmeonaeee. Ngoma gani best zinachezwa kwa kulazimisha wachezaji wa Sevilla waingie kati kama sio kuwavuruga. [emoji3][emoji3][emoji3]
Sababu naamini kutwa nzima leo wanawaza ile ngoma tu. [emoji3]
asant nitaicheki usiku in sh AllahSuperSport 9
Safari tv
Ahsante Swahiba. Nikimaliza kuftar tu najisogeza karibu na TV nione uyasemayo.Katibu uone pasi nyingi na ufundi hakuna butua butua
Aisee sawa mtani mimi sina la kuongeza tusubiri tu wakati ufike.Kila la kheri Mtani. Japo Sevilla mmewavuruga kisaikolojia sababu zile ngoma za jana si mchezo. ππ
Itakuwa Mrisho Mpoto ni Simba sababu sio bure.
Tulifungwa na Katika kombe la Sportspesa ,KagameIkumbuke Simba haijawahi kufungwa uwanja wa Taifa mechi yoyote ya kimataifa
Umeonaeee. Ngoma gani best zinachezwa kwa kulazimisha wachezaji wa Sevilla waingie kati kama sio kuwavuruga. πππ
Hapa naamini kutwa nzima leo walikuwa wanawaza ile ngoma tu. π
Star time ila hakuna kituhivi ssfari tv inapatkana king'amuzi gani?
mwenye link tafadhali nitazame online kama ipo
Ndyo, Tanzania Safari channelSafari tv iko king'amuzi cha azam?
muda bado, mi nasubiri hii link kama nitaona. https://cricfree.sc/watch/live/simba-vs-sevilla-live-streamingStar time ila hakuna kitu
Mnyama mkali Simba SC zihirisha ubora wako leo wale wasiokutambua wakutambue.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2018/2019