Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kweli best ilikuwa kuwavuruga jamaa
Umeonaeee. Ngoma gani best zinachezwa kwa kulazimisha wachezaji wa Sevilla waingie kati kama sio kuwavuruga. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hapa naamini kutwa nzima leo walikuwa wanawaza ile ngoma tu. πŸ˜€
 
Umeonaeee. Ngoma gani best zinachezwa kwa kulazimisha wachezaji wa Sevilla waingie kati kama sio kuwavuruga. [emoji3][emoji3][emoji3]

Sababu naamini kutwa nzima leo wanawaza ile ngoma tu. [emoji3]
Katibu uone pasi nyingi na ufundi hakuna butua butua
 
Kila la kheri Mtani. Japo Sevilla mmewavuruga kisaikolojia sababu zile ngoma za jana si mchezo. πŸ˜€πŸ˜€
Itakuwa Mrisho Mpoto ni Simba sababu sio bure.
Aisee sawa mtani mimi sina la kuongeza tusubiri tu wakati ufike.
Naweka akiba ya maneno 😜😜
 
Kikosi Cha Sevilla FC
Ben Yedder
Ever Benega
Jesus Navas wote ndani
61210210_1331187160379743_2391736784561111040_n.jpeg
 
Umeonaeee. Ngoma gani best zinachezwa kwa kulazimisha wachezaji wa Sevilla waingie kati kama sio kuwavuruga. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hapa naamini kutwa nzima leo walikuwa wanawaza ile ngoma tu. πŸ˜€

Ilifikia hatua niliona aibu sana

Watu watishiwa mpaka wakakimbia lakini wanawafuata tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Back
Top Bottom