Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Umeonaeee. Ngoma gani best zinachezwa kwa kulazimisha wachezaji wa Sevilla waingie kati kama sio kuwavuruga. πππππππππ
Kweli best ilikuwa kuwavuruga jamaa
Hapa naamini kutwa nzima leo walikuwa wanawaza ile ngoma tu. π