Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Akili finyu hizi,yanga ilshawahi cheza na aston villa (i stand yo be corrected) ukisema haitatokea tena ndo nn wakati mdhamini wao ni sportpesa na mwakani bafo kutakua na friend game,inagine mwakani aje arsenal na mfano awe amebeba europa..
Ushabiki daah..
 
Tena akiwa bingwa wa Uefa mwaka huo
 
5imba imegeuka Simbachawene...angalau kelele ni za wastani.

Nilijua tangu awali, hata 5imba wangefunga 30, lkn lazima ingeishia 30 - 5, maana mikia hawaridhiki bila kumpa mgeni 5. Jipya ni hili la KUOMBA VIATU .Thi5 i5 5imba
 
Kuna mkuu apo juu kaandika hivi nanukuu...... THI5 I5 5IMBA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Pitia nilichokiandika Mimi halafu pitia tena ulichokiandika wewe mwenyewe! Then utajuwa kuwa kwanini munaitwa Ndala
 
Simba imekuwa hivi, wewe si tungeshindwa kuhesabu idadi??

Mabingwa wa fitina.
Hayo ni maneno ya mkoswaji ucheze wewe visingizio kwa asiyecheza uliona wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…